WEMA na PREZZ dating?

WEMA na PREZZ dating?

uzuri wema ni mwema kama jina lake hana roho mbaya ili mradi uwe na cash tu[/QUOTE]

Alipomtolea KAJALA faini mlimshangilia kama wendawazimu....Sasa anapambana kuzirudishia mnamsimanga....YATAWASHINDA....
 
aangalie tu yasije mkuta kama yaliyomkuta Goldie. wenye majina ya Prezzo ni noma
 
Aangalie asijekafundishwa kubwia madawa ya kulevya akawa kama Ray C ................!
 
Wema she is businesswoman a golddigger hana mapenzi ni mchumi she uses her beauty

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom