Wema: Namchukia Halima Kimwana

Wema: Namchukia Halima Kimwana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ' Diamond Platnum ' , Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa hazijulikani.

Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye.

Akipiga stori na paparazi wetu hivi Karibuni, Wema alisema ugomvi wake na Halima Kimwana hautaisha na siku zote atamuonyesha chuki za wazi sababu hana upendo naye hata kidogo.

Halima kimwana."Kusema kweli yule dada namchukia mpaka basi, simpendi na sitompenda kamwe, haitatokea hata siku moja kwenye maisha yangu nikapatana naye.

Yaani suala la kupatana mimi na yeye halipo kabisa, hata yeye mwenyewe anajua simpendi maana damu zetu zimekataana, siwezi hata kuonyesha upendo wa maigizo kwake, " alisema Wema.
 
nasikiaga kimwana ndio kuwadi wa domo. kama ni kweli hawataweza kupatana
 
Hata akimchukia Hamzidishii hampunguzii,asokazana na maisha yake anagombalia fupa lilomshinda fisi.........
 
Diamond mwenyewe yuko radhi ampe hata mil.10 dadake wa hiyari Halima kuliko kumpa Buku wema,Queen Dareen au Esma.
Huyo mdada Diamond alisha sema hata iweje anampenda sana dadake
 
Kwa kwelii hata mi nikisikia mtu anamkuwadia bwana angu siwez kumpendaaa kabisaaaa
 
Sasa wema rafiki sijui Halima dada wewe unamtegemea atampenda nani zaidi?
 
Sasa wema rafiki sijui Halima dada wewe unamtegemea atampenda nani zaidi?

Dunia hii kuna vitu vya ku ignore tu na ku let it go sasa utachukia wangapi maisha yenyewe mafupi tu ukimjua mbwa jina hakusumbui bore am ignore basi
 
Diamond mwenyewe yuko radhi ampe hata mil.10 dadake wa hiyari Halima kuliko kumpa Buku wema,Queen Dareen au Esma.
Huyo mdada Diamond alisha sema hata iweje anampenda sana dadake

Sijui kuna nini kati ya domo na halima..
Ila nnachojua domo alimjua halima kupitia Dully sykes..
Na za chini chini znadai Hala ndiye anaemuhangaikiaga ndomo kwa waganga..
 
Sijui kuna nini kati ya domo na halima..
Ila nnachojua domo alimjua halima kupitia Dully sykes..
Na za chini chini znadai Hala ndiye anaemuhangaikiaga ndomo kwa waganga..

Si nasikia romy na mama ubaya walienda kwa mganga ili ndomo amrudie mama ubaya, na rommy ndo kamshawishi sana ndomo awe na mama ubaya maana ndomo alikuwa hatak hata kumsikia mama ubaya, nasikia wema alimuaidi romy ndomo akimrudia atamnunulia gar matokeo yake kapewa s4
 
Uwiiiiii akapewa simu mi ningekataaaa
 
Uwiiiiii akapewa simu mi ningekataaaa

Ujanja wa mama ubaya upo mkononi mwa rommy jones, jamaa ndo kashikiria mahusiano ya wema n ndomo, ndomo ansikiliza sana rommy ndo maana wema walivyotengana akaw anajipendekeza kwa romy kumnunulia vizawad ili ndomo amrudie
 
Asee kipenda roho jamaniii yaan mi nakiona cha nini wema anakitaman na kukipenda kweliii looo,naona dudu ya domo ina super glu ikiingia kwa Wema
 
Aisee hili jukwaa lina mambo mbona watu wote wanaojadiliwa siwafahamu zaidi ya wema na almasi,,,
 
Asee kipenda roho jamaniii yaan mi nakiona cha nini wema anakitaman na kukipenda kweliii looo,naona dudu ya domo ina super glu ikiingia kwa Wema

Wema anapenda wanaume ma star
 
Back
Top Bottom