πππππΏMwishowe atatamani "ANAYE NUKA MDOMO". Ila wema jamaaaniii!!!!
Mimi haku vipigo siwezi wengine tu wadhaifu sasa tukipigwa ni shida huko si ndo kuvunja mahusiano. Mahusiano ya kuumizana sio mahusianoWewe kupigwa ni lazma!(kwa sauti ya jiwe)
ahaha ahaha, umetisha mkuuKupiga mwanamke sio kama jambazi kuna pigs ya mpenzi
Ni kua na hamu jambo liwe kiasi hata ukafanya kila njia ili hilo jambo litimieHivi desperate ina maana gani mkuu.
et kuna kipigo cha kimapenzi, upigwi kama jambazi..Mimi haku vipigo siwezi wengine tu wadhaifu sasa tukipigwa ni shida huko si ndo kuvunja mahusiano. Mahusiano ya kuumizana sio mahusiano
doh aksante mkuu, unajua hiki kingereza mambo mengi.Ni kua na hamu jambo liwe kiasi hata ukafanya kila njia ili hilo jambo litimie
Kiwe cha ujambazi au mapenzi Mimi stakiet kuna kipigo cha kimapenzi, upigwi kama jambazi..
aha ahaa
Uhitaji wa kitu sanaHivi desperate ina maana gani mkuu.
Unapigwa tu kidogo ile ya mahaba!Mimi haku vipigo siwezi wengine tu wadhaifu sasa tukipigwa ni shida huko si ndo kuvunja mahusiano. Mahusiano ya kuumizana sio mahusiano
Thanks mkuuUhitaji wa kitu sana
Kama mvuta sigara akikosa yuko desperate sana
Siku ikifika utapigwa tuMaisha ya kupigwa mm hapana kwakweli
Utapigwa tuWewe ka mimi
Hahaaaa hapigwi mtu hapaUtapigwa tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha kunichulia mkuu, hafu unaweza kupigwa upendo ukaongezeka maradufu aiseeSiku ikifika utapigwa tu