Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Mimi haku vipigo siwezi wengine tu wadhaifu sasa tukipigwa ni shida huko si ndo kuvunja mahusiano. Mahusiano ya kuumizana sio mahusiano
et kuna kipigo cha kimapenzi, upigwi kama jambazi..
aha ahaa
 
kuna watu tunamikono mizito balaa, sijui tukija kuoa itakuwaje
 
Back
Top Bottom