Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Inawezekana hajaeleweka pengine alimaanisha zile slap za makalioni wakati wa tendo pendwa!
 
Hahahaa.. hyo Dada kuna siku atasema anamtaka mkurwia Wa tarime bila kuitaji chochote kutoka kwake!

Haya maisha yanakwenda kasi zaidi ya supersonic!
 
Wale jamaa sidhani kama wanabembelezeka aisee.
Kwanza hata wake zao huwa wanawapandilia tu kama ng'ombe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo walivo hamna kubembelezana tena ukimbembeleza anaweza kukudunda kitu kidogo anazira, saa ya mchezo ubabe tu ka jeshini
 
Ndo walivo hamna kubembelezana tena ukimbembeleza anaweza kukudunda kitu kidogo anazira, saa ya mchezo ubabe tu ka jeshini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Hoja yake ina mashiko. Nimekaa na mwanamke miaka minne sasa kwenye ndoa. Huwa namshushia kichapo kidogo kidogo cha kumuweka sawa lakini hajawahi nishitaki popote. Zaidi tu nikipata dharura nikatoka hata week moja tu. Ananimiss saaaana mmewe.
 
Hii ni kweli mwanamke wako akikosea ukamtandika makofi upendo unaongezeka na adabu kwa sana. Ukijidai mtu wa dini/maneno kupitiliza utakuwa unaumia kila kukicha.

Alichokisema ni kweli nimekiona mwenyewe.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ulifanyaje haukukosa pumzi kweli mi ndo tungeachana mwanaume unapigaje roba mwanamke wako si bora hata vibao
hahah kumbe ladha ya vibao unaitambua eeh
 
Yaani mtu anapenda kupigwa Labda Kama hapigwi kweli mwanaume anamchezea.
Lakini Kama nikupigwa kweli Kwa wanawake tunaowaona hospital wamepigwa na wanaume ni balaa.
Hao wanaume wanaopiga halafu mtu anafurahia kipigo Labda ni wanaume mashoga wenye mikono ya lotion huko Dar.
Mimi siwezi kumpiga mwanamke maana huu mkono nitaambulia Kesi Aiseee
Hapa ndo napata picha Kwanini wanawake wamekua hivyo walivyo inawezekana Kuna wanaume wanatuaibisha kwamba mpaka mwanamke Anapigwa halafu Anaenda kucheka hii ni kiboko.
Pigeni na mikono yenu hiyo yenye sponchi sie wengine tutaua bure tumeamua kutotumia nguvu Kwa watu wazima wenzetu wenye akili Timamu.
Labda Kama umeoa taahira asieelewa akimbiwa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…