Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Wema: Napenda mwanaume anayepiga

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu makosa ya kuelezana yanajulikana mbona na yako wazi kabisa

Nampaka nakupa Kofi, maana yake nimeona unastahili kuonywa kwa kofi.

Basi.
Ukinipa Kofi na Mimi nakurudishia Kofi kubwa au nakuvizia na kupiga na CHOCHOTE nakimbia
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ulifanyaje haukukosa pumzi kweli mi ndo tungeachana mwanaume unapigaje roba mwanamke wako si bora hata vibao
Kumbe unapenda vibao hahahaha [emoji23]
 
Brother
Mimi hata kama si mke wangu
Hata girlfriend tu akinikosea lazima achukue kipigo ili zimsogee kidogo.

Uzito wa kipigo hutegemeana na kosa lake.
Wana wasaikologia wanasema mtoto akimuona mama anapigwa na baba basi ujue na yeye mtoto atakuja kumpiga mkewe..,Mkuu hayo ya matatizo ya kumpiga mkeo..umerithi kwa wazazi wako...pole sana mkuu,wenzio wenye matatito kama hayo wanakuwa wanaomba msaada wa kisaikoloa wewe unayafurahia...
 
Na sisi huwa tunapenda pia kuchokozwa sometimes ili tuonyeshe tunajali kiasi gani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa kumbe sikujua nitazidisha uchokozi, maana nikimiss kudekezwa hutafta kila namna ya uchokozi kupata attention nibembelezwe
 
Hahaaaa kumbe sikujua nitazidisha uchokozi, maana nikimiss kudekezwa hutafta kila namna ya uchokozi kupata attention nibembelezwe
Uwe unazingatia na mood za watu maana kama ni jamaa wa kanda maalumu mh sipati picha [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Uwe unazingatia na mood za watu maana kama ni jamaa wa kanda maalumu mh sipati picha [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaaaa ni kweli huangalia mood maalumu wa kanda maalumu hawaeleweki loh, ingawa hamna mkate mgumu mbele ya chai na angalia tu namna ya kumuingilia mood ikiwa nzuri
 
Kiruuu!! Yaani huyo mtu sijui atakua katokea sayari gani. Kirahi rahisi tuu unipige. Yaani hata kama una tumbo kubwa kama Le Mbebezzz utaisoma namba.
 
Hahaaaa ni kweli huangalia mood maalumu wa kanda maalumu hawaeleweki loh, ingawa hamna mkate mgumu mbele ya chai na angalia tu namna ya kumuingilia mood ikiwa nzuri
Wale jamaa sidhani kama wanabembelezeka aisee.
Kwanza hata wake zao huwa wanawapandilia tu kama ng'ombe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom