Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Ni vizuri vikatolewa kila vinapohitajika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaaa hafu saa nyingine huwa tunawachokoza kuona reaction zenu tu ka hzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vizuri vikatolewa kila vinapohitajika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaaaa hafu saa nyingine huwa tunawachokoza kuona reaction zenu tu ka hzo
Ukinipa Kofi na Mimi nakurudishia Kofi kubwa au nakuvizia na kupiga na CHOCHOTE nakimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu makosa ya kuelezana yanajulikana mbona na yako wazi kabisa
Nampaka nakupa Kofi, maana yake nimeona unastahili kuonywa kwa kofi.
Basi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ulifanyaje haukukosa pumzi kweli mi ndo tungeachana mwanaume unapigaje roba mwanamke wako si bora hata vibaoKuna siku nimekunjwa roba asee ndo nikajua mwanaume sio wa kuchezea...
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]weee ndo mzuri sana wa kuishi nawe.Ukinipa Kofi na Mimi nakurudishia Kofi kubwa au nakuvizia na kupiga na CHOCHOTE nakimbia
Ewaaa tunaenda pamoja sasaHahahhaha basi sawa
Kumbe unapenda vibao hahahaha [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ulifanyaje haukukosa pumzi kweli mi ndo tungeachana mwanaume unapigaje roba mwanamke wako si bora hata vibao
Wana wasaikologia wanasema mtoto akimuona mama anapigwa na baba basi ujue na yeye mtoto atakuja kumpiga mkewe..,Mkuu hayo ya matatizo ya kumpiga mkeo..umerithi kwa wazazi wako...pole sana mkuu,wenzio wenye matatito kama hayo wanakuwa wanaomba msaada wa kisaikoloa wewe unayafurahia...Brother
Mimi hata kama si mke wangu
Hata girlfriend tu akinikosea lazima achukue kipigo ili zimsogee kidogo.
Uzito wa kipigo hutegemeana na kosa lake.
Sipendi ila sometimes kumchokoza baby kuona reaction yake huwa napendaKumbe unapenda vibao hahahaha [emoji23]
Hahaaaa kupigwa kila siku inahuuu jamani na Mimi sikubali yani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]weee ndo mzuri sana wa kuishi nawe.
Na sisi huwa tunapenda pia kuchokozwa sometimes ili tuonyeshe tunajali kiasi gani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sipendi ila sometimes kumchokoza baby kuona reaction yake huwa napenda
Hahaaaa kumbe sikujua nitazidisha uchokozi, maana nikimiss kudekezwa hutafta kila namna ya uchokozi kupata attention nibembelezweNa sisi huwa tunapenda pia kuchokozwa sometimes ili tuonyeshe tunajali kiasi gani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwe unazingatia na mood za watu maana kama ni jamaa wa kanda maalumu mh sipati picha [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaaaa kumbe sikujua nitazidisha uchokozi, maana nikimiss kudekezwa hutafta kila namna ya uchokozi kupata attention nibembelezwe
Hahaaaa ni kweli huangalia mood maalumu wa kanda maalumu hawaeleweki loh, ingawa hamna mkate mgumu mbele ya chai na angalia tu namna ya kumuingilia mood ikiwa nzuriUwe unazingatia na mood za watu maana kama ni jamaa wa kanda maalumu mh sipati picha [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha sio kila siku mpaka ukosee kosa linalohitaj kofiz[emoji119]Hahaaaa kupigwa kila siku inahuuu jamani na Mimi sikubali yani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wakati Dudu baya anapiga watu hakumuona, Eti Wema nae "Zilipendwa"
Utaanza kutamani wanaume wasiooga hivi karibuni.
Wale jamaa sidhani kama wanabembelezeka aisee.Hahaaaa ni kweli huangalia mood maalumu wa kanda maalumu hawaeleweki loh, ingawa hamna mkate mgumu mbele ya chai na angalia tu namna ya kumuingilia mood ikiwa nzuri
Tena vyepesi tuKiruuu!! Yaani huyo mtu sijui atakua katokea sayari gani. Kirahi rahisi tuu unipige. Yaani hata kama una tumbo kubwa kama Le Mbebezzz utaisoma namba.