Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Mi ukinipiga na Mimi nakurudishia tena nakukia timing nakimbia
Sasa hapo itakuwa tunacheza tena na sio kupigana...badala yake itakuwa funny! Wow! Hebu ngoja nije
 
Kwa umri wake hatakiwi kuongea hayo maneno, wenzie wapo wanalea familia ndani na waume zao. Habari za anapenda mwanaume wa........., zilipitwa na wakati. Umri unamtupa huyu bibi, atafute pa kujisitiri sasa...tumechoka na mambo yake🙄
 
Alivyosema mwanaume anayepiga alikuwa na maana tofauti, sema mleta mada hakumuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…