Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Hatambui hayo ni matokeo ya alichokifanya
 
Ni ujinga upi tena inamaana mtu akikosa msaada kwako ndio baasi asitokee mtu mwingini akamsaidia ndio unakua mjinga? Hapana kiongozi tujifunze kuhurumiana
Na atokee Mtu yeyote kusaidia ila basi ndio Wema?!!! Hapa pana Hila kama sio Lengo.
 
Ndio maana Kuna aja ya kupambana na kujiwekea akiba ya uzeeni ili fainali ikifika tusiwatafute watu lawama.

Na huyo Wema hizo hela bora ajitibie mwenyewe akili, au ajioni kama anaumwa?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] haki ya nan jf Kuna visaaa
 
Wema naye anaumwa pia
 
Hahaha woyee hata DAI ni mzazi wa tifa wacheni ujinga wa kuumiza watoto wenu.....
 
Itakuwa ni global wanatunga wauza udaku wao
 
Aisee kweli unakuta mwanamke na kitoto kidogo mgongoni mvua yake jua lake alafu mtu anasema usikilizwe upande wa pili kivip? Kuna mwanamke ambae atapewa matumizi ya mtoto akatae? Huwa namshangaa mtu anakazana kusema upande wa pili.
Inauma tena kwa wote mama NA huyo mtoto
 
Huyo DAI angekufwa wakati kamtelekeza?! Au angekuwa masikini?! Akwenddreeeee baba sio kumwaga shahawa tu kinenani chaaaa
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…