Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?

Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Hatambui hayo ni matokeo ya alichokifanya
 
Ni ujinga upi tena inamaana mtu akikosa msaada kwako ndio baasi asitokee mtu mwingini akamsaidia ndio unakua mjinga? Hapana kiongozi tujifunze kuhurumiana
Na atokee Mtu yeyote kusaidia ila basi ndio Wema?!!! Hapa pana Hila kama sio Lengo.
 
Ndio maana Kuna aja ya kupambana na kujiwekea akiba ya uzeeni ili fainali ikifika tusiwatafute watu lawama.

Na huyo Wema hizo hela bora ajitibie mwenyewe akili, au ajioni kama anaumwa?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] haki ya nan jf Kuna visaaa
 
Huyu wema mm naona angeacha haya nimambo ya kifamilia zaid maana kama baba wa daimond kuumwa hajaanza leo kwa nn yeye wema kipind yupo na diamond hakumshawish mond wakamaliza tofaut zao na baba ake leo hii imepita miaka mingap kaachwaa ndio anataka aje atoe msaada kifup sijamuelewa
Wema naye anaumwa pia
 
Hutuzungumzii kuuma, tunazungumzia maadili, mzazi huwa hakosei hata siku 1 kinachokufanya umwite baba ndicho hcho kitakacho kufanya usiache kumdharau....

Jifunze kidogo kuhusiana na Mungu na maadili, nikupe mfano rahisi kunawatu wanatafuta Watt mpaka kwa waganga, na hali kadharika kunawatu wanatafuta wazaz wao walao tu wawaone,

Nikwambie hyo dogo angekuwa hajaoneshwa baba yake angekuwa anasumbuka balaaa, kila siku yangekuwa matangazo,

Au hujui yule mtu maarufu usa aliyefukua kabuli la baba yake na kupima dna na alipogundua kuwa kwel ni baba yake aliweka msiba mkubwa?

Mzigo wa hyo dogo ni sum za kijinga ambazo hazitamsaidia na zimeenezwa na may b na mama yake, jambo ambalo dogo hakupaswa kulibeba, nakwambia weka kumbukumbu ikiwa dogo ataendelea hvyo mwisho wake si mzr...

Think
Hahaha woyee hata DAI ni mzazi wa tifa wacheni ujinga wa kuumiza watoto wenu.....
 
Source ya Hii habari ni nini? Diamond kaongea Mengi sana kuhusu Baba ake na kasema kuwa Media zinamtumia vibayaaa kwa njaa njaa zake anamua kukaa kupigwa picha alipwe kidogo

Swali la kujiuliza ni Kuwa Baba wa Diamond hana Mtoto Mmoja

1.Je queen Darling nae hamuonei huruma Baba yake kama kweli anaumwa na ana matatizo hayoo? Je roho ya Diamond ni sawa na Ya queen Darling?

2.Inamaana Hata Rommy Jones ndugu yake nae lao Moja na Diamond hata hawamshauri au?

3.Akina Halima Kimwana kuwa naye hana huruma kabisa na hayo mateso anayo daiwa baba ake Diamond anapitia?

4.Esma nae haoni huruma??

Kuna vitu vingi vya kujiuliza kuhusu huyuu Mzee.....skendo zake ipo siku zitachuja na watu wataona za kawaida na hayo magazeti hayata uzaaaaaa.......atleast angekuwa anapumzika kudanganya!!!!

Diamond kila siku akiulizwa anasema juzi tuu kamapa pesa kwanini huyo mzee asitoke kuja kusema sijapewa? Yeye kila siku anaumwaaa ugonjwa gani huo anao umwaa ujulikane na vyeti vya hospitalini watu wamsaidie kabisaaas
Itakuwa ni global wanatunga wauza udaku wao
 
Aisee kweli unakuta mwanamke na kitoto kidogo mgongoni mvua yake jua lake alafu mtu anasema usikilizwe upande wa pili kivip? Kuna mwanamke ambae atapewa matumizi ya mtoto akatae? Huwa namshangaa mtu anakazana kusema upande wa pili.
Inauma tena kwa wote mama NA huyo mtoto
 
Back
Top Bottom