Wema, Sasa tunaanza kupata picha kuhusu Diamond..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Duh hiki kitendo cha wema sepetu kwenda kufanya timbwili pale ofisi za Global publisher, kimestaajabisha sana kama sio kushangaza, binafsi nimejiuliza maswali mengi yakiwemo haya.

1. Wema na mpenzi wako diamond nyinyi ni wageni sana kuandikwa kwenye magazeti?,scandal ya ndomo kuwa shoga imekuchanganya hivyo? Kuna nini nyuma ya pazia unataka kuficha?,nini kilichokuumiza? binafsi sijaona kilichokufanya ukajipigishe makele kama mwehu wakati picha mlipiga na Ku post wenyew tena kwa mbwembwe zote.

2. Diamond mwenyewe aliyeandikwa hajasema chochote wala kuonyesha kuchukizwa na scandal hiyo, mbona wewe imekuuma sana? Unais uvumi ulionea chini kwa chini kuhusu ndomo umeanza kuwa wa kweli? Hizo fikra zako tu hakuna anayemfikiria ndomo vibaya, besides tunajua tu picha ndo zimem cost pengine asingepiga kavaa wigi lako scandal ya ushoga isingeweza kuwa ishu kwenye vyombo vya habari?

3. Inawezekana wema hauna uhakika kama diamond ni mwanaume rijali au vipi? Mbona hiyo scandal imekuchoma sana? Apa unatuachia maswali mengi sana kuhusu shemeji yetu ndomo.

4. Hakuna mtu anayependa mpenzi wake kuandikwa vibaya ndio inajulikana, ila sio kwa nyie ma star, mangapi mmeandikwa bana? Toka 2006 hadi Leo ujazoea magazeti au ? , scandal ya ndomo imekuchoma mno.

5.Ukweli siku zote unauma.
 
Nami nilishangaaaa siku zote alifurah kuandikwaaaa eti leo kawakaa moto hahahhhaaaa
 
Hana lolote alikuwa anatafuta picha za kipindi chake na global wamewashtukia
 
Reactions: amu
Wema naye akae ajipange na maisha umri unaenda atengeneze future life huyo diamond sidhani kama watadumu naye ajipange
 
Huyo anatatizo la umaarufu mbna kipindi yuko na tid, kanumba n yule teja wake walimwandika sana hakufanya ki2, then alipokua n visenti wakawa nae karibu kila cku yeye n gpl.leo hana hela ya kuwapa wamemwandika domo anabwelabwela.
Umaarufa gharama hela imekataa wapambe instead ya kumshauri wanampa kichwa cjui kadinda, petit wote kma mabwabwa yanapelekwa 2 nayo yanaenda
 

Aaaah aaah umenifuraishaaa, wakati wanamuandika anavyoenda Dubai kufanya shopping alikuwa anafurahi, na kile kipindi alipokodi ndege na waliokuwa mashabiki wake alivyoandikwa wema kama Kim kardashian alikuwa anafurahii? Kajipange mama Pesa huna , Mimi nashangaa sana Diamond c billionaire? Sasa mbona umepauka hvyo? Na gari bado unatumia la clement , kama anakupenda kwa nini asikununulie Range? Wema hamnazo kweli
 
kazi anayo unataka uma arufu wa kina kim kardashian huku unataka kuhongwa wenzio wana invest kwenye business na kutumia uma arufu ku make money
 
Amnunulie range wakati mama yakee hajamnunuliaa hata tax,ubilionea wa mdomoniii

Wanajishaua wana hela , vifaa tu vya kampuni ya wema hadi Leo hajanunua, ndomo hapendi mafanikio ya wema , ndomo anajiwazia mwenyewe tu nashangaa mama ubaya hashtuki, ye kazi kupigwa nao tu usiku kucha maendeleo hamfanyii kama clement, huyu wema karogwa sio bure
 

Itakua karogwaaa siwezi kumuacha mwanaume anaenipa mafanikio anajua shida zangu pia raha yangu kisa kamwanaume kanacheza ngololo kenyewe ni kupiga pumbu tu lol,jana kwenye kipindi chake analiliaa milion Nne ingekua zaman angesemaa "basi haina shida pesa ndogo hiyo lakin kafuliaa mpaka jana kaliaa atamiss sana clement
 

Dah , wema ----- sana, kajikosesha mengi sana kwa yule mzee , mtu kila kitu anapata halafu anazingua, hata kama uyo clement hamkolez c angekuwa anacheat kisiri tu maisha yanaenda sasa yeye kaenda mazima limefulia linahangaika kama tahira , kashafulia ma body guard wamemkimbia kabak na ndomo wake , dah wema pumbu sana
 

Hua anawaza akiwa chooni ndio maanaaa na muda si mrefu watamkimbia woteeee maana hapo wamefata kula tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…