Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hivi Dangote alishanunua vile vitu alivonyanganywa na clement
Bado hajamnunuliaa eti hivyo vitu Marekan havipatikani wanasubiriaa watengenezewee wameweka order hahahhhhhhahhhhahhha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Dangote alishanunua vile vitu alivonyanganywa na clement
Anajiita dangote..dangote wa domo
Halafu nasikia wema sepetu ni kuwadi hatari binamu
Maana ya dangote ni nini??
Eeee simfahamu hua anaongolewaa mnoo lol muwekee basiii
nitakuwekea damwani
Halaf binamu uje uturushie picha ya huyo Clement hua hatumjuiiii jamaniii
Itakua karogwaaa siwezi kumuacha mwanaume anaenipa mafanikio anajua shida zangu pia raha yangu kisa kamwanaume kanacheza ngololo kenyewe ni kupiga pumbu tu lol,jana kwenye kipindi chake analiliaa milion Nne ingekua zaman angesemaa "basi haina shida pesa ndogo hiyo lakin kafuliaa mpaka jana kaliaa atamiss sana clement
Dah , wema ----- sana, kajikosesha mengi sana kwa yule mzee , mtu kila kitu anapata halafu anazingua, hata kama uyo clement hamkolez c angekuwa anacheat kisiri tu maisha yanaenda sasa yeye kaenda mazima limefulia linahangaika kama tahira , kashafulia ma body guard wamemkimbia kabak na ndomo wake , dah wema pumbu sana
Bado hajamnunuliaa eti hivyo vitu Marekan havipatikani wanasubiriaa watengenezewee wameweka order hahahhhhhhahhhhahhha
Hebu nipeni contact za clement mie niwezeshwe!
Cc. Gossipcopwarumi.
lusungo
Heaven on Earth
Dinazarde
Bado hajamnunuliaa eti hivyo vitu Marekan havipatikani wanasubiriaa watengenezewee wameweka order hahahhhhhhahhhhahhha
Hebu nimuvuzishie contact aisee... labda nitapata japo kicorolla kibovu..