Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
IVF haibadili mfumo wa mwili wa mtu wala kubadili jinsia au muundo wa kibaiolojia, naona hata hauna uelewa wowote kuhusu hiyo technology.Kwahiyo na wewe siku wakipandiiza uterus kwenye mfumo wako wa kiume ilimradi upate mtoto utaona ni sawa tu!?
"Two wrongs don't make a right" the fact that its a new technology doesnot make it necessarily right.
Unafahamu madhara hasi ya IVF kwenye mtazamo wa maadili ya kijamii (social efhics)!?Hujasoma mada yako mwnyw?
Unafahamu madhara hasi ya IVF kwenye mtazamo wa maadili ya kijamii (social efhics)!?Kuna mzazi wa mtu miaka 50+ ameamkia kwenye mitandao ya kijamii kujadili mimba ya wema.
Hakika Samia anaongoza vichaa.
Samia anaongoza vichaa kama OzonUnafahamu madhara hasi ya IVF kwenye mtazamo wa maadili ya kijamii (social efhics)!?
Samia mwenyewe ni kichaa
Unajua ule msemo wa mapenzi ni upofu?!Kwanini hao wengi waumie? Au wale wengi waliokuwa ni wapenzi wake?
Ujinga wako wewe hautuzii kukumbushana misingi ya maadili ya kijamii.wee mpuuzi kweli maadili ndo ujinga gani ??
Hutaki jinyonge *****.... Maadili peleka kwa boss wako na kwa mkeo sjui mumeo
Labda kama anaongoza ukoo wako wewe.Samia anaongoza vichaa kama Ozon
Upo wapi nije kukuzabua!Unafahamu madhara hasi ya IVF kwenye mtazamo wa maadili ya kijamii (social efhics)!?
Samia mwenyewe ni kichaa
Acha upumbavu wa kupangia watu maisha mjinga mmoja usiye na mambo ya kuzingatiaUjinga wako wewe hautuzii kukumbushana misingi ya maadili ya kijamii.
Useless fool.
Naongelea social ethics.IVF haibadili mfumo wa mwili wa mtu wala kubadili jinsia au muundo wa kibaiolojia, naona hata hauna uelewa wowote kuhusu hiyo technology.
Tujadili IVF kwa uhalisia wake wa kitabibu, siyo kwa mifano ya kubuni, otherwise nitakuona haujui hata ni nini unakipinga hapa.
Osterbay Police Station utanikuta garage pale.Upo wapi nije kukuzabua!
Ujinga mzigo.Acha upumbavu wa kupangia watu maisha mjinga mmoja usiye na mambo ya kuzingatia
Maadili peleka kwa familia yako wayale mengine mtupe chooni senge kweli
Tupe ww hayo madhara acha ngonjeraUnafahamu madhara hasi ya IVF kwenye mtazamo wa maadili ya kijamii (social efhics)!?
Mzigo upo kichwani kwako!! Binti kapikie bwanako chakulaUjinga mzigo.
Hivi unadhani wewe hupangiwi maisha!?
Ujinga mzigo.Watu wenye IQ kubwa wapo kwa ajili ya ugunduzi
Wewe IQ yako ipo for umbea
Sio mbaya lakini maana ndo sifa yenu wanawake umbea umbea mwenzio kajifungua wewe hujapenda vile..
Yeye katumia hiyo IVF wewe jifungue kawaida.
Kagoogle au bando unatumiaga kuangalia porno!?Tupe ww hayo madhara acha ngonjera
Situmii bando kuangalia porno, natumia bando kucheka wanawake wenye wivu kuona wema ana mtoto mana ulitamani abaki mgumba kama wwKagoogle au bando unatumiaga kuangalia porno!?
Bora umelitambua hilo mkuu ni kupoteza muda kubishana naeSitumii bando kuangalia porno, natumia bando kucheka wanawake wenye wivu kuona wema ana mtoto mana ulitamani abaki mgumba kama ww
Dini gani hiyo iliyokataa?Kwa mujibu wa Dini, mila na desturi sio mtoto huyo ni machine tu