Wema Sepetu aahidi kufanyia kazi ushauri mbalimbali

Joined
Aug 20, 2014
Posts
10
Reaction score
13
Katika ukurasa wa Instagram mrekebishatabia aliandika hivi:-

Yes. Kuna watu hawaelewi kwanini au why now.. tunampenda sana Wema Sepetu binafsi mimi kama mrekebishaji sifurahii kuona mtu ambaye wengi wanamuona role model wao anapotea, mtu mwenye talents anazichezea! Hata kama ni zake lakini kuna watu wanamuangalia watoto wadogo mpaka watu wazima wenye heshima zao. Tunataka kesho na kesho kutwa akiwa mtu mzima awe na history kwamba amefanya nini kupitia talents and gifts yuko nazo..Wema ni mkubwa sana hadi anashindwa kujibeba mpaka watu wanamtumia yeye haoni…. this is just awareness I mean a wake up call, we want her back..yule wema wetu wa ukweli msweet, tulimjua kwasababu ya kuchapa kazi, I mean our madame..hatukumjua wakati anazunguka clubs na kushinda na diamond and co ..we want to see mambo mazuri kutoka kwake huyu wema tunayemuona kwa sasa kama kachanganyikiwa siye yeye..please wenye mapenzi mema na yeye tumuombee.

Wema Sepetu akajibu katika ukurasa huo akisema:

"Dah… Hadi natamani kulia… Ntalifanyia kazi… I promise…" Alisema Wema
Ahsante sana. Tunatarajia mema zaidi.
 
Jinsi ulivyo leo ni kutokana na Malezi na makuzi uliopitia.kama mtu kalelewa kishangishangi,au kikahaba kahaba,au kimalayamalaya usitegemee abadirike kwa ushauri wako!!Na kuwajadili watu hao ni kuwafanya wawe mazuzu zaidi.......
 
Jinsi ulivyo leo ni kutokana na Malezi na makuzi uliopitia.kama mtu kalelewa kishangishangi,au kikahaba kahaba,au kimalayamalaya usitegemee abadirike kwa ushauri wako!!Na kuwajadili watu hao ni kuwafanya wawe mazuzu zaidi.......

Kula like mkuu......
 
Hivi jukwaa la katiba mbona silionii
 
kwani ww unadhani maswala ya wema na diamond kila cku unapost mala ukuala instagram cc yanatusaidia nn...?kama ni kuwapenda kila mtu ata mpenda msaanii wake anae mpenda kati ya hao.
 
Kwa kuanzia magazeti ya udaku (hasa ya shigongo) wamlipe royalty ya jina lake kwa walivyolitumia na blogu pia
 
We mrekebisha tabia hatukutaki huku. Unaishusha thamani jf. Toka pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…