mrekebishatabia
Member
- Aug 20, 2014
- 10
- 13
Katika ukurasa wa Instagram mrekebishatabia aliandika hivi:-
Yes. Kuna watu hawaelewi kwanini au why now.. tunampenda sana Wema Sepetu binafsi mimi kama mrekebishaji sifurahii kuona mtu ambaye wengi wanamuona role model wao anapotea, mtu mwenye talents anazichezea! Hata kama ni zake lakini kuna watu wanamuangalia watoto wadogo mpaka watu wazima wenye heshima zao. Tunataka kesho na kesho kutwa akiwa mtu mzima awe na history kwamba amefanya nini kupitia talents and gifts yuko nazo..Wema ni mkubwa sana hadi anashindwa kujibeba mpaka watu wanamtumia yeye haoni…. this is just awareness I mean a wake up call, we want her back..yule wema wetu wa ukweli msweet, tulimjua kwasababu ya kuchapa kazi, I mean our madame..hatukumjua wakati anazunguka clubs na kushinda na diamond and co ..we want to see mambo mazuri kutoka kwake huyu wema tunayemuona kwa sasa kama kachanganyikiwa siye yeye..please wenye mapenzi mema na yeye tumuombee.
Wema Sepetu akajibu katika ukurasa huo akisema:
"Dah… Hadi natamani kulia… Ntalifanyia kazi… I promise…" Alisema Wema
Ahsante sana. Tunatarajia mema zaidi.