Wema Sepetu aapa kuirudisha bongoMovies ktk ubora wake km zaman

Naijua bongo movie vizur sana, kwa nini inafeli
-Ushirikina, wanaangalia majina ya watu baada ya kuangalia kipaji, Wengi hawana Elimu iwe ya sanaa au ya aina yoyote, umalaya, njaa ya pesa, wengi wanalazimisha kwa kutaka umaarufu, siyo wabunifu, technolojia hafifu, hawataki kujifunza, n.k nitarud ila siku moja nitakuja itambulisha bongo movie kimataifa
 
Ulichosahau WAS ni kuwa uzuri siyo fani,hujachelewa sana learn something maisha yasonge. Huchoki kutumiwa!!
 
Kwl nampenda wema ila uigizaji big no!..aliingia tu bcoz of connections na umaarufu, Bwana kuna watu wanaigiza Bongo hii sema bado hajatokea MTU aliyewekeza kwny tz movie kina Muhogo mchungu,Bstar,mama kibakuli,Thea,siyo kina ray maplastiki stiki tu mawazo yao movie ili iwe poa ni kuigiza ktk majumba ya fahar,wanawake wazur,magar mazur wakat haiakisi maisha yetu waige mfano Qeen of katwe,kigodoro,siri ya mtungi na nyinginezo bwana kuna standard fulan kibongobongo itifaki imezingatiwa Qeen of katwe inaakisi maisha ya Africa kabisa mpaka mwendo wa stress na hasira jinsi wamama wa Africa wanavyotembea mimi nimeingiza kweny my best movie.....
 
Tanzania sweetheart [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]


Check maneno yako, nani mwenye akili timamu akataka kuwakilishwa na Wema mahakamani au kwenye jamii inayojitambua? So huo u-sweetheart kaupata lini? Ukichunguza, utakuta wengi wanaomjali na kumtukuza Wema ni wale walalahoi wasiojitambua.
 
Ni bora niangalia MIZENGWE nitapata ujumbe.
 
Check maneno yako, nani mwenye akili timamu akataka kuwakilishwa na Wema mahakamani au kwenye jamii inayojitambua? So huo u-sweetheart kaupata lini? Ukichunguza, utakuta wengi wanaomjali na kumtukuza Wema ni wale walalahoi wasiojitambua.
Usikasirike...relax....sometimes people enjoy life that way.....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Aanzie kwenye hii script ninayoambatanisha hapa chini, lazima imtoe
Hehe maneno ya Zitto mheshimiwa sana ,kweli nae siku hizi kawa debe tupu,mheshimiwa anayeamini nguvu za giza ni kuogopwa kama gonjwa la ukoma
 
Samaki yake jeuri, baharini/baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…