Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Aachie hiyo kwanza kabla ya movie nyingineTatizo ni kwamba yeye na mashabiki wake wote wanapoteza kumbukumbu hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aachie hiyo kwanza kabla ya movie nyingineTatizo ni kwamba yeye na mashabiki wake wote wanapoteza kumbukumbu hahahaha
Unaendana na username yako [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nikutakie heri ya pasaka rafiki
Ajirudishe yeye kwanza kwenye enzi zake!
Tanzania sweetheart [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Ni bora niangalia MIZENGWE nitapata ujumbe.Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya
Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake ktk kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa
![]()
Katika hili yatupasa kuonesha mapenzi ya, dhati kwa princess wetu
![]()
![]()
Nyie watu hapanakupata vichekesho kama hivi tuma neno BONGO MOVIES kwenda 15017
Usikasirike...relax....sometimes people enjoy life that way.....[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Check maneno yako, nani mwenye akili timamu akataka kuwakilishwa na Wema mahakamani au kwenye jamii inayojitambua? So huo u-sweetheart kaupata lini? Ukichunguza, utakuta wengi wanaomjali na kumtukuza Wema ni wale walalahoi wasiojitambua.
Kabla ya kutajwa ni teja!Ile enzi ya kuwa fuska na vituko vya kijinga au?
Ha ha ha ha ha haUngekuwa unaelewa maana ya ku-act movies na kujuwa talent ya watu pale wanapo-act ndipo utajuwa namaanisha nini. Si kosa lako.
Hehe maneno ya Zitto mheshimiwa sana ,kweli nae siku hizi kawa debe tupu,mheshimiwa anayeamini nguvu za giza ni kuogopwa kama gonjwa la ukomaAanzie kwenye hii script ninayoambatanisha hapa chini, lazima imtoe
Eh Kanumba alikuwa Bongo Flava ?ndio nasikia leoBongo flava ilikuaga Marehemu Kanumba
Samaki yake jeuri, baharini/baharini.Tanzanian SweetieHeart Wema Sepetu amewataka watanzania ukaa mkao wa kula kwa kazi yake mpya
Hii ni kufuata mfukulizo wa post zake kuhusu ujio wake mpya wa kazi zake ktk kuigiza, amewaasa wabongo kuwapa ushirikiano wa dhati kabisa
![]()
Katika hili yatupasa kuonesha mapenzi ya, dhati kwa princess wetu
![]()
![]()