shetani mweusi
Senior Member
- Jun 30, 2014
- 132
- 116
Mchumba mpya wa wema sepetu amepost [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atakua msukuma yamezoea kuchunga ng’ombe maporiniAfu anakuja kutangaza social media
Jamaa hata ukimuangalia ni mtu mshamba
Si sawa kutumia neno Sunnah, munaumiza hisia zetu sisi tunaofuata dini ya kiislamu. Mbona maneno mengine ya kijingakijinga yapo mengi tu? Si muyatumie hayo?Hahaha labda bikra ya tuzi,kuna clip naiona huko inst jamaa yupo na demu anamuomba kwa madai yake kuwa ni sunnah
Kumradhi sheikh wangu,nimekuelewa mkuu I'm very sorrySi sawa kutumia neno Sunnah, munaumiza hisia zetu sisi tunaofuata dini ya kiislamu. Mbona maneno mengine ya kijingakijinga yapo mengi tu? Si muyatumie hayo?
Kurogwa kubaya au uchawi ndo mbaya?Kulogwa kubaya sana
[emoji848][emoji848][emoji848]kwa nn marufuku kutumia lugha ya warabuSi sawa kutumia neno Sunnah, munaumiza hisia zetu sisi tunaofuata dini ya kiislamu. Mbona maneno mengine ya kijingakijinga yapo mengi tu? Si muyatumie hayo?