patrickkkkky
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 468
- 286
Ndio maana nampa bigup Ray C ni mama lishe na maisha yanakwenda na haishi kwa maigizo tena.
ha ha ha sitaki kamati mi ntakua mnenguaji tu si na dogoli itakuwepo lol
kweli ww jambazi! kauli zako ni za hatare!anyway point yako nimeipata.Huyu demu alikuwa mzuri kipindi akitoa film ya kwanza na marehem
stevin kanumba ile ya valentain! Ila sa hvi hata ampe Dogo janja hyo mbunye lazma dogo ataisusa! labla akaolewe Botswana au aende viziwa vya mafia