Wema Sepetu Achoka na Skendo Kila Siku Sasa Anataka Kuolewa na Kutulia

Wema Sepetu Achoka na Skendo Kila Siku Sasa Anataka Kuolewa na Kutulia

Wema acha kujizalilisha wa 1 zari kubali uwe wa 2 kwa diamond
 
Ndio maana nampa bigup Ray C ni mama lishe na maisha yanakwenda na haishi kwa maigizo tena.

Saaaana yani, mtu ukishajitambua na kujikubali kwa kile kidogo lichonacho/uwezo ulionao ni rahisi sana kupata njia/mbinu za kufanya mambo makubwa kwa kujiamini. Sasa hivi Ray C anapigia debe zile lotion zake naamini si haba lazima zinanunulika tu na kumuingizia njuluku!

Yeye wema sijui ni staili gani hiyo ya maisha aliyoichagua. Na jina lake lilivyokubwa hivi hajui kama anaweza kujishughulisha nalo na akamake money? Dah anyways.....yeye awaze tu kutulia na kuolewa wakati watu kama kina Huddah pamoja na ucrazy wenye anaufanya atleast ana sehemu penye anaweza kunyofoa mkwanja wake!
 
Huyu demu alikuwa mzuri kipindi akitoa film ya kwanza na marehem
stevin kanumba ile ya valentain! Ila sa hvi hata ampe Dogo janja hyo mbunye lazma dogo ataisusa! labla akaolewe Botswana au aende viziwa vya mafia
kweli ww jambazi! kauli zako ni za hatare!anyway point yako nimeipata.
 
Ni kosa kubwa sana kukutana na MALAYA kama huyu usiache kumbukumbu (mtoto) rejea Jenifer Lopez kwa Mark Antony kazalishwa kelele zimeeisha japo wameachana ila kumbukumbu hipo
 
Back
Top Bottom