Huu ni upuuzi yawezekana wema kaona hajaandikwa siku nyingi akaamua kutoka hivyo. Jokate msomi hana haja na hawa akina Diamond. Wema Mcharuko dy/dx
who is jokate,wema, and diamond????? napita tu naenda shambani kupalilia mahindi....
who is jokate,wema, and diamond????? napita tu naenda shambani kupalilia mahindi....
Wengine hatuwajui hawa mabinti kwa ukaribu, ebe bandikeni picha zao iwe ni tahadhari wasije wanetu wakawaleta nyumbani kuwatambulisha kuwa ni wachumba kumbe balaaa tupu!!!
tehe tehe teeh aisee....Nilifikiri waliochanganyikiwa ni madereva daladala tu. Nimegundua Africa, watu wengi tumechanganyikiwa. Gambia Rais kachanganyikiwa eti anatibu AIDS kwa kutumia ndizi, hawa nao wamechanganyikiwa kama Rais wa gambia, na list goes on and on.
weka full adress ya huo mtandao wa DUBAIHII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?
Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
U Turn Blogweka full adress ya huo mtandao wa DUBAI
hapo sasaila according to jokate mwenyewe amesema alikuwa kikazi zaidi, kwani walikuwa wanashoot video ya wimbo mpya wa diamond sijui unaitwa mawazo. Hivyo ni vizuri ushahidi ukawekwa wazi kuliko kuchafuana, je wema aliwakuta live wakifanya mapenzi? Au kisses tu?
mwenye ufafanuzi wa hili............ Ufafanuzi plizzzzzzzzzingekuwa huwajui kweli hata hi thread usingefungua!!!!kwakuwa unaleta unafiki subiri nikuambie hao ni nani!vijana wadogo wakali wa bongo!wema ni kicheche kisichoisha hamu,diamond ni bwana mdogo anayetisha katika uimbaji na pia ni sexy symbol,jokate ni kicheche underground kinachopenda dudu kubwa!
ingekuwa huwajui kweli hata hi thread usingefungua!!!!kwakuwa unaleta unafiki subiri nikuambie hao ni nani!vijana wadogo wakali wa bongo!wema ni kicheche kisichoisha hamu,diamond ni bwana mdogo anayetisha katika uimbaji na pia ni sexy symbol,jokate ni kicheche underground kinachopenda dudu kubwa![/QUsawa sawa!!