Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

Jocate na diamond...:A S-omg::nono: she cant go that low!
 
Huu ni upuuzi yawezekana wema kaona hajaandikwa siku nyingi akaamua kutoka hivyo. Jokate msomi hana haja na hawa akina Diamond. Wema Mcharuko dy/dx

acha upimbi wewe!dudu halina usomi....
 
Kumbe Complex kwa Kiswahili ni Kokofyo

Kwa hiyo Complex Numbers - Tarakimu Kokofyo
Complex Life - Maisha Kokofyo
The Late Complex - Marehemu Kokofyo

SENK YOU VERI MACHI
 
who is jokate,wema, and diamond????? napita tu naenda shambani kupalilia mahindi....

ingekuwa huwajui kweli hata hi thread usingefungua!!!!kwakuwa unaleta unafiki subiri nikuambie hao ni nani!vijana wadogo wakali wa bongo!wema ni kicheche kisichoisha hamu,diamond ni bwana mdogo anayetisha katika uimbaji na pia ni sexy symbol,jokate ni kicheche underground kinachopenda dudu kubwa!
 
Nawasalimu wote wana jamii forum
I am new here, (knocking on this door)
 
Mi sioni tatizo hapo kwani wema na diamond wameoana au
ni njaa tu ndo zinawakutaniasha?
 
who is jokate,wema, and diamond????? napita tu naenda shambani kupalilia mahindi....

Wengine hatuwajui hawa mabinti kwa ukaribu, ebe bandikeni picha zao iwe ni tahadhari wasije wanetu wakawaleta nyumbani kuwatambulisha kuwa ni wachumba kumbe balaaa tupu!!!
 
Wengine hatuwajui hawa mabinti kwa ukaribu, ebe bandikeni picha zao iwe ni tahadhari wasije wanetu wakawaleta nyumbani kuwatambulisha kuwa ni wachumba kumbe balaaa tupu!!!

Wema
wema2.jpg

Jokate
jokatebc.jpg
 
Nilifikiri waliochanganyikiwa ni madereva daladala tu. Nimegundua Africa, watu wengi tumechanganyikiwa. Gambia Rais kachanganyikiwa eti anatibu AIDS kwa kutumia ndizi, hawa nao wamechanganyikiwa kama Rais wa gambia, na list goes on and on.
tehe tehe teeh aisee....
 
Ila according to Jokate mwenyewe amesema alikuwa kikazi zaidi, kwani walikuwa wanashoot video ya Wimbo mpya wa Diamond sijui unaitwa Mawazo. Hivyo ni vizuri ushahidi ukawekwa wazi kuliko kuchafuana, Je Wema aliwakuta live wakifanya mapenzi? Au Kisses tu?
 
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?

Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
weka full adress ya huo mtandao wa DUBAI
 
ila according to jokate mwenyewe amesema alikuwa kikazi zaidi, kwani walikuwa wanashoot video ya wimbo mpya wa diamond sijui unaitwa mawazo. Hivyo ni vizuri ushahidi ukawekwa wazi kuliko kuchafuana, je wema aliwakuta live wakifanya mapenzi? Au kisses tu?
hapo sasa
 
who are these? afu kama hamjui kiswahili muache. huwezi kusema diamond wake. hapo ni diamond yake au almasi yake
 
ingekuwa huwajui kweli hata hi thread usingefungua!!!!kwakuwa unaleta unafiki subiri nikuambie hao ni nani!vijana wadogo wakali wa bongo!wema ni kicheche kisichoisha hamu,diamond ni bwana mdogo anayetisha katika uimbaji na pia ni sexy symbol,jokate ni kicheche underground kinachopenda dudu kubwa!
mwenye ufafanuzi wa hili............ Ufafanuzi plizzzzzzzzz
 
mbona hii U turn mnaanza kui promote humu JF? Hebu acheni hadhi ya JF iendelee kukua
 
wakati Wema anachezwa na wanaume tuliona poa vp kwa Diamond? Endelea kaka,play them all na kila atakayejipitisha mbele yako. You got money,what else do you need? Av funny bro.
 
ingekuwa huwajui kweli hata hi thread usingefungua!!!!kwakuwa unaleta unafiki subiri nikuambie hao ni nani!vijana wadogo wakali wa bongo!wema ni kicheche kisichoisha hamu,diamond ni bwana mdogo anayetisha katika uimbaji na pia ni sexy symbol,jokate ni kicheche underground kinachopenda dudu kubwa![/QUsawa sawa!!
 
Back
Top Bottom