Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

Huyu diamond anatengeneza kirusi ambacho hakitakuja kusikia dawa za ARV.....embu angalia hii chain:
Jokate katembea na Mzee Mengi ambaye ni Suspected +VIH, Wema ni malaya mzoefu kama kijiko cha hotel maarufu ...hatuna haja ya kumention waliopita. Sasa Huyu almasi anakwenda tena kujidunga madude yaliyowashinda wenye mapafu ya mbwa. So sad!
Viral swapping.........nothing else......this Diamond guy will end up with a Complex Viral Combination (CVC)

 
wakati Wema anachezwa na wanaume tuliona poa vp kwa Diamond? Endelea kaka,play them all na kila atakayejipitisha mbele yako. You got money,what else do you need? Av funny bro.
kama angekuwa na hela angetembelea opa ??
na nyumba ya kupanga??
NAULIZAAAA
 
who are these? Afu kama hamjui kiswahili muache. Huwezi kusema diamond wake. Hapo ni diamond yake au almasi yake
nina wasi wasi na iq yako .
Mbona wakurukupuka hivyo ?? Unajua kinachoongelewa?
Kama unajua...basi nina wasi wasi na iq yako
kama hujui ... Basi nina wasi wasi na (meya wa dsm) yako...




Akili za mbayuwayu changanya na zako.......
.
 
kaenda mapumziko south africa wiki nzima, vp alitumia mawe? Nauliza
teh teh teh teh ....south africa ndio umeona pa kupumzikia?? Naulizaaaaaaaaaaaaa
unajua hoteli aliyofikia?? Naulizaaaaaaaaaaa

wenzake wanapumzika burj al arab yeye anaenda kupumzika cape royale teh teh teh ninachekaaaaaaa
 
Dimond hana kosa kabisa, hao watoto ni wakali hata kama hawajatulia kwa mwanaume kamili hata kama ameoa asingependa wampitie hivi hivi na wala uwezi kulaumiwa ukipita hata na dingi yako atakupa mkono.
 
hawezi shindana na kina Bakhresa ila kwa level yake atawaliza sana dada zenu. Go Diamond
uzuri mimi sina dada wewe unae?? Naulizaaaaaaa
kama unae umelia..
na akijiroga tu kwa demu wangu ninam cameroon kama mwenzake mchomvu
 
mwenye ufafanuzi wa hili............ Ufafanuzi plizzzzzzzzz

uschoelewa nini apo we CTU...ushaambiwa wanapenda d.u.du kubwa ya beby wao...kile kiroba kimekulia apo ushenzini T.and.le mshedede bamia nane za kuunga uyo geti kali mlokole wa masaki akwepee wapi..basi ukute in the mawazo video making jamaa akaamua maksudi amuonyeshe dogo!!..hehee who the hell is Hashim
 


Haijatoka Dubai. Iko kwenye magazeti ya bei rahisi hapa:

http://www.globalpublishers.info/profiles/blog/list?promoted=1

 

THis is very interesting. It leaves a lot to be desired.
 
Wema


Jokate

THis is excellent. Haya, sasa tuwekee picha ya huyo "Sex symbol" Diamond na kama possible, na kazi yake maarufu kuliko zote, then tuendeleee.

Ila Jokate moto, I envy the girl, she has taken various publlic repsonsibility, she is not empty headed.....
 
ndio maana anagombaniwa na wadada??
Mwenye uhakika na hili........pliizzzzzzzzzz hahahahaha leo..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…