The saga continues
Na Imelda Mtema
KISHINDO cha Jokate Mwegelo ni kizito, kimeingia ndani ya uhusiano wa brazameni, Naseeb Abdul ‘Diamond' na Wema Sepetu kisha kuwafanya wawili hao kila mmoja kushika hamsini zake.Wema, amefunga virago, ameondoka nyumbani kwa Diamond, Sinza Madukani, Dar es Salaam kwa mtindo wa "wanakwenu kwa heri, nimechoka masimango, narudi nyumbani kwetu leo."Madai ‘yanahiti pointi' kuwa Diamond na Jokate wapo kwenye penzi jipya lenye nguvu, Wema ameligundua hilo, ameona ni maji marefu, kwa hiyo amejiweka pembeni kuepuka…
