mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
ndio maana anagombaniwa na wadada??
Mwenye uhakika na hili........pliizzzzzzzzzz hahahahaha leo..........
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond
alimwacha wema peke yake nyumbani kwake
na kwenda kukaa hotelini na jocate.
Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?
Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
hate to call women bitches but bitches loves it!
niwho is jokate,wema, and diamond????? napita tu naenda shambani kupalilia mahindi....
Ila according to Jokate mwenyewe amesema alikuwa kikazi zaidi, kwani walikuwa wanashoot video ya Wimbo mpya wa Diamond sijui unaitwa Mawazo. Hivyo ni vizuri ushahidi ukawekwa wazi kuliko kuchafuana, Je Wema aliwakuta live wakifanya mapenzi? Au Kisses tu?
The saga continues Na Imelda Mtema
KISHINDO cha Jokate Mwegelo ni kizito, kimeingia ndani ya uhusiano wa brazameni, Naseeb Abdul ‘Diamond' na Wema Sepetu kisha kuwafanya wawili hao kila mmoja kushika hamsini zake.Wema, amefunga virago, ameondoka nyumbani kwa Diamond, Sinza Madukani, Dar es Salaam kwa mtindo wa "wanakwenu kwa heri, nimechoka masimango, narudi nyumbani kwetu leo."Madai ‘yanahiti pointi' kuwa Diamond na Jokate wapo kwenye penzi jipya lenye nguvu, Wema ameligundua hilo, ameona ni maji marefu, kwa hiyo amejiweka pembeni kuepuka…
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?
Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
Huu ni upuuzi yawezekana wema kaona hajaandikwa siku nyingi akaamua kutoka hivyo. Jokate msomi hana haja na hawa akina Diamond. Wema Mcharuko dy/dx
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?
Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.
who are these? afu kama hamjui kiswahili muache. huwezi kusema diamond wake. hapo ni diamond yake au almasi yake