Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

nafikiria cha ku comment but naona ntajivunjia heshima.
i am too old for this...
 
Halafu nashangaa hii mada mpaka sasa bado haijafungwa maana ile ya Mwamvita kula bata Dubai tayari ishapigwa kufuri. Sijui ni vigezo hani tu ambavyo hutumika kuzifunga mada.
 
Halafu nashangaa hii mada mpaka sasa bado haijafungwa maana ile ya Mwamvita kula bata Dubai tayari ishapigwa kufuri. Sijui ni vigezo hani tu ambavyo hutumika kuzifunga mada.

kwa nini ifungwe?
si ma celebrity ndo hawa?au?
 
Sasa kwa nini ya Mwammy imefungwa? Au yeye si selebu?

u celeb wake unaweza kubishaniwa..je kila mfanyakazi wa voda ni celeb?
kila mtoto wa makamba ni celeb?....

but kama wewe ni former miss tanzania na unaigiza na bwana wako anaimba hapo hakuna ubishi kuwa nyinyi ni ma celeb....
 
Oh haya bana, hamna neno wala ubishi toka kwangu. Ngoja niendelee kusoma maoni ya wapondaji.
 
Diamond ana hela sana na pia inaonekana anajua kusimamia kucha vizuri ndo maana anawakanyaga sana hawa warembo wa uncle hasheem lundenga
 
Oh haya bana, hamna neno wala ubishi toka kwangu. Ngoja niendelee kusoma maoni ya wapondaji.

wapondaji?

hivi kwa nini wabongo tunaweza kumponda wema na wengine
lakini tusiwaponde kina Kim k na Rihanna?....is it the hate we have for ourselves inajitokeza thru kwa ma celeb wetu????
 
hata mimi napata shaka, utendaji wa ma-mod unaanza kunipa mkagasiko
Halafu nashangaa hii mada mpaka sasa bado haijafungwa maana ile ya Mwamvita kula bata Dubai tayari ishapigwa kufuri. Sijui ni vigezo hani tu ambavyo hutumika kuzifunga mada.
 
wapondaji?

hivi kwa nini wabongo tunaweza kumponda wema na wengine
lakini tusiwaponde kina Kim k na Rihanna?....is it the hate we have for ourselves inajitokeza thru kwa ma celeb wetu????

Kuponda ni kawaida tu ya walimwengu. Hata Kimmy naye majuu kapondwa sana tu. Ila kwa vile Wema na wenzake wako karibu ndo maana wanapondwa zaidi na wabongo. Sidhani kama kwenye ma-forum ya Waghana wanamjua hata huyo Wema ni nani.

Ila pia hata hiyo 'hate' uliyoizungumzia wewe nayo pia ipo. Usije shangaa siku wewe Boss ukinunua Maserati yako kwa hela zako mwenyewe halafu wengine wakakasirika.
 
nazungumzia mbongo kumponda wema na kumfagilia kim k...
kim kapondwa na kwao..but unakuta mbongo anamuona kim wa maana sana
na anamuona wema wa ovyo saana....mi sioni tofauti....
 
nazungumzia mbongo kumponda wema na kumfagilia kim k...
kim kapondwa na kwao..but unakuta mbongo anamuona kim wa maana sana
na anamuona wema wa ovyo saana....mi sioni tofauti....

Oh nimekuelewa. Nadhani ukisoma signecha yangu unaweza ukapata jibu...
 
jokate kaliwa na KOBIE yule wa BOA BANK'HAFU unategemea mtoto kama jokate ajipitishe DIAMOND amuche!!! hata mimi namla'DIAMOND UR TRUE PLAYER DUDE'tafuna tu hao watoto tena ikibidi wapake afuta uko makalioni'.
 
ndipo hapo tunapokosea wanawake.tunapodhani unaweza ukamfanya akamuacha mwanamke wake for you,km aliweza kumuacha ujue na wewe utaachwa......halafu jokate huyo diamond sio saizi yako achana naye akahangaike na waswazi wenzie....just be patient your man will come along(right one)......just be patient and pray....
 
Umbea ushapoa huu hata haupendezi.....masikini hii family ya kina J,juzi kaka kaanikwa hapa anatunduliwa leo yeye anakwiba almasi za Wema!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…