Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

wakati Wema anachezwa na wanaume tuliona poa vp kwa Diamond? Endelea kaka,play them all na kila atakayejipitisha mbele yako. You got money,what else do you need? Av funny bro.

Saaaffi..ukitoka hapo nenda kwa javk wolper kabsa!
 
Back on track once again,stil giving a lot ov support kwa fellow world player,DIAMOD. Thts hw playerz we do our things.. HATERS COPY N PASTE THAT
 
Opa nimemnunulia mdogo wa mke wangu anatumia kwenda nayo Kazini bandarinii pale sina hadhi ya kuendesha opa Mkuu
na mimi sio star
NASIKITIKAAAAAAAAAAAAAAA

Kwa umri wake its ok. Fikiria wewe umri wa 22 ulikuwa navyo na ungeweza kwenda kujirusha SA? Akifikia your age may be atakuwa zaidi yako.
 
Opa nimemnunulia mdogo wa mke wangu anatumia kwenda nayo Kazini bandarinii pale sina hadhi ya kuendesha opa Mkuu
na mimi sio star
NASIKITIKAAAAAAAAAAAAAAA

Kumbe una familia unajishndanisha na bw mdogo! Jiulze ulikuwa na hela kama zake wen u wea his age? Teh teh aliyekula kala tu, big up diamond
 
wakuu
Si inasemekana Wema ameisha kumegwa na Kapteni Komba?
 
wakuu
Si inasemekana Wema ameisha kumegwa na Kapteni Komba?

Kumbe kuwa Celeb ni kumwegwa megwa....au????

Au Wema ni Celeb wa kumegwa? Kwa maana hajachukua role yoyote ya kijamii zaid ya ngono na kuvaa nusu uchi......

Imagine ni scenario.. Wema vs Komba! Lile tumbo jamaa sijui alifikiaje???

OOh I have goot it: wema aliikalia.....
 

Jamani si kuna CHUMA MBOGA ha ha ha ha ha
 
watu wakiamua kukuchafua.....hivi Komba siku hizi anadinda na ukuwadi kamuachia nani?
 
:-DHaha unaniuwa ati raisi wa Ghambian anatibu watu ukimwi na ndizi huyo kituko sana au hakusoma nini watu wanao muamini raisi huyo hamna tofauti na watu wanao muamini BABU. Nimecheka mpaka nimetaka kujikojolea hahahaha
 
jaman msimlaumu diamond kwa ile jaman mnazijua fursa au unazisikia,wanaume wa kibongo 99% hawawezi chomoka kwa mrembo kama huyu wakipata nafsi! mpe pole na ushaur kijana ila kiukweli ngumu kushinda ii
 
Acha kukashifu wanaume wewe uyo wema unaemsifia wanaume wangapi kashatemana nao na kwanini yeye tu kila siku wema kunguru tu hafugiki
 
Opa nimemnunulia mdogo wa mke wangu anatumia kwenda nayo Kazini bandarinii pale sina hadhi ya kuendesha opa Mkuu
na mimi sio star
NASIKITIKAAAAAAAAAAAAAAA

We ni mwongo! Hapo juu umejíidentify kama mwanamke..Jokate na Wema ni wanawake wenzako..iweje ununue gari la mdogo wa MKEO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…