Wema Sepetu adai kuwa "hana mpango wa kuolewa na mtanzania"

Sometimes tusiwalaumu sana hawa 'bongo celebrities'. Hawana elimu. Hebu angalia mambo anayoyafanya Hemed sijui PHD, hakuna elimu kabisa. Aisee warudi shule
 
Hana jipya rafiki yake(snura) kamchana kamwambia kuna mambo anayofanya wema akiamua kuyaadithia hakuna mtu atakayemtamani,amesisitiza kwamba watu wanamuona wema kama mungu wakati yeye anasema wema ni wa kawaida sanaaaaaaa!
Maneno ya mkosaji
 
Hvi kwann Wema na Hemed wasifungishwe ndoa? nahc hzi kelele ztaisha....................
 
Nani Tanzania hii atakuwa na ujasiri/ujuha wa kumuoa Wema!??
 
Hata huyo wa nje akijuwa tabia zake tu atamuacha. Ni bora zimwi likujualo, lile ambalo halikujui na likishakujua unakoma!!! Ila ana tabia chafu mno. Anajiabisha tu.
 
Hata huyo wa nje akijuwa tabia zake tu atamuacha. Ni bora zimwi likujualo, lile ambalo halikujui na likishakujua unakoma!!! Ila ana tabia chafu mno. Anajiabisha tu.

umenena vema mdau!!
 

true!!!!
 
Haina haja ya kumlaumu sana coz watasha husema "it runs in the family" kama kuna m2 ambaye ashawahi kusikia utumbo na pumba anazoongea mamake wema, bac ataelewa nasema nini.
 
Uyo certified cheche pasua kichwa hata akiolewa Sayari ya Mars shauri yake
 
kuna wanaume wachafu zaidi yako wema mpaka shetani anawaogopa... Unachotakiwa fanya ni kumuomba shetani wako mkuu akukutanishe nao...
Na kweli hapa BONGO huwapati ..labda chni ya bahari(kuzimu).

hahahaaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…