Wema Sepetu afunguka kuhusu siri ya utajiri wake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Live abetter life wengi wetu tumekuwa watu wa kulalamika maisha magumu, hakuna kazi na muda mwingine tunatupa lawama kwa Mungu kwanini amekuumba masikini.

Lakini bila kufikilia kwanini uzaliwe masikini na ukubali kufa masikini? ajira ziko nyingi sana lakini sababu ni ipi wewe ukose? elimu? rushwa? juhudi? au kukata tamaa? Je tangu umeamka leo umfanya kitu gani cha maana cha kukuingizia pesa?

Iam sure hakuna upo eiza Kijiweni, Kitandani au umejiachia sehemu ya starehe unapiga picha then unalalamika maisha magumu amka jitume pesa unayo tumia kuweka bando na kusoma umbea.

Uliwahi piga mahesabu kwa week unatumia shilingi ngapi kuweka vocha katika simu yako? na hiyo pesa ukiijumlisha kwa mwezi ni shilingi ngapi? Iam sure ni pesa ambayo inaweza kuwa mtaji wa biashara au mwanzo wa kulipia ada ukasome kozi furani ili uongeze juudi.

Hao matajiri wanaotutengenezea simu na vocha wote walianza na 0 now wako nusu number usilalamike maisha magumu wakati huna juudi yoyote uliyo fanya live a better life tumia vocha yako vizuri je ungependa kuwa kana Wema Sepetu.

Basi jifunze kujaribu kwani hta yeye alijaribu kuwa Miss na hakuwa na mategemeo ya kushinda but leo hii amekuwa tamanio la wengi, always try and never give up hata mimi sikutegemea kama leo hii ningekuwa kipenzi cha wengi but nilijaribu na nikafika.

Usiogope always try # Live abetter life# Be Wema fanya Wema
 
Maajabu 7 ya dunia ndio hayo wema tajiri?💡💡💡💡
 
Kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

My ribs ooo.. Ngoja waje wale rafiki zake, by the way hii alikuwa anamwandikia nani?
 
Ndugu yangu unaheshimika jukwaa hili, usirudie tena kutuletea mambo ya kipumbavu kama haya hata kama umepewa pesa kuleta huu usenge hapa unajiabisha bure.
 
Ndugu yangu unaheshimika jukwaa hili, usirudie tena kutuletea mambo ya kipumbavu kama haya hata kama umepewa pesa kuleta huu usenge hapa unajiabisha bure.

hapo kwenye red Invisible hizi lugha zinaruhusiwa umu,maana hii habari ni katika kuwapa moyo watu,lakin kwa matusi haya nataka nijue kama yanaruhusiwa umu
 
Last edited by a moderator:
Maajabu 7 ya dunia ndio hayo wema tajiri?

ukumbuke ana nyumba ya thamani zaidi ya million 400,na magari ya kifahari na kampuni pia ni pedesheee uwa anagawa pesa kwenye mabendi,hapo bado ujamuita tajiri,huyo angekuwa Arusha ni trillionea kabisa
 
Do not underestimatenthe power of nyapu mixer with manyaunyau

Bandugu tunajua power of nyapu ni hatari ila sio wema istoshe ukishkwa shikamana sio unakalia kula hela 2 huna hata kibanda.kma utajiri n kupanga nyumba na magari kweli wema tajiri
 
ukumbuke ana nyumba ya thamani zaidi ya million 400,na magari ya kifahari na kampuni pia ni pedesheee uwa anagawa pesa kwenye mabendi,hapo bado ujamuita tajiri,huyo angekuwa Arusha ni trillionea kabisa

Nyumba kapanga hana hata banda huyo magari cku hizi sio kitu cha ajabu issue hapa ni huo utajiri wake.aseme assets zke au utajiri wake ni wanaume aliotembea nao
 
Nyumba kapanga hana hata banda huyo magari cku hizi sio kitu cha ajabu issue hapa ni huo utajiri wake.aseme assets zke au utajiri wake ni wanaume aliotembea nao

mapedesheee na yule kiongozi wa ikulu wana mchango mkubwa sana
 
ukumbuke ana nyumba ya thamani zaidi ya million 400,na magari ya kifahari na kampuni pia ni pedesheee uwa anagawa pesa kwenye mabendi,hapo bado ujamuita tajiri,huyo angekuwa Arusha ni trillionea kabisa

Nyumba hipi???? ipo wapi?? pale kuna mwenyewe yeye mpangaji tu
 
mapedesheee na yule kiongozi wa ikulu wana mchango mkubwa sana

Huwezi kuficha assets huyo angekua hata na nyumba tungejua tu hawezi kunyamaza istoshe wanaume wengi alikua nao ni vilaza tu.labda ck n domo ndio walimnunulia magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…