the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,755
- 835
Labda Utajiri wa wanaume waliomfanyizia.
Absolutely
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Utajiri wa wanaume waliomfanyizia.
mtoa mada unamatatzo unatakiwa maombi ya alaka
Wema tajiri wa msururu wa followers insta, tajiri wa wanaume waliom nonihino kwisha. anavyopenda sifa angekua hata na kibanda tungejua. nyumba anayokaa kapanga, japo kutwa anasema kanunua.... Thubutu yake, zingekua zinapatikana kirahisi hivyo kila mmoja angekua nayo. Nywele za mamilioni, kucha za ma laki halafu nyumba ya kupanga... hawana akili kabisa hawa wasanii wa kike, kuonyeshana ufahari wa vivazi, wanasahau kujijengea future. hawajui kuwa maisha wanayoishi muda wake ni mfupi sana. Akifika 30 tu hapo hakuna atekayemuangalia mara mbili. Huu ndio muda wa kujijengea future, lakini hawajui. maisha yako fake tupu.