So sad kwa kweli angalau hata angetoa dondoo kuwa alihudhuria kama balozi tuNdio akaona hasikiki ni kama vile watu wanataka kumsahau kirahisi rahisi akaona adandie na kuipa jina lake, kazi anayo.
ha ha ha! hata Tiffa? Mtoto wa Zari ni wake!Eti mtoto wako ni wangu, kweli!
Mkuu umeongea kweli tupu,pamoja na kwamba kadandia treni kwa mbele basi pia awaeleze kuwa wasijiingize kwenye kutumia MCHINA,tena awe anajitolea mfano jinsi ilivyomuaribu.Awape watoto wa shule madhara ya MCHINA.
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.
Umenikumbusha mbaliYeye alichezea uzazi wake sasa kaishia kutamani wa wengine...!
" kwa wale inshomile kawimbo ketu; o'wange otaikutuma kaisikiwe o'wawe okanaga'..by saida kaloli.