Wema sepetu aja na mradi mpya "Wema na jamii"

Wema sepetu aja na mradi mpya "Wema na jamii"

Teh teh teh Hii idea sio ya wema...ni ya huyo Mwl ticha mlemavu....kama kasema yake jua kaiiba
 
Hongera zake Pengine atapata Furaha huko...
Maana anaonekana ni mtu asiye na Furaha ya nafsi kabisa..ila japo anatabasamu.
 
Project ya yule dada mlemavu anaitwa Sophia Instagram anatumia jina wiseladysophey
 
Ahaa, kaamua kuhamishia kiki upande huu? Afadhali huku anaweza akakumbukwa kwa matendo haya ya huruma kuliko kule upande mwingine...
 
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.

Anatafuta kiki tu, ujio wa zari umemfunika vibaya
 
Wema kwisha kabisa,
"Bring back our wema!!"
Siku hizi anadandia project za watu
Hivi ile Range rover amegomboa?
 
Back
Top Bottom