Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Mtu na dadake walipania kuongea ukweli mchungu yaani liwalo na liwe😀😀😅😅Wakati mama wema anaongea hukumuona uncle sele alikuwa anaongea lkn hasikiki coz hakuwa na mic, ndio akawa anaifata mic kwa dada ake lkn ghafla wakamfurusha baada ya wema kuwaambia wamtoe fasta kabla hajachomea betri 🤣🤣🤣🤣
Mjomba alikuwa na jambo zito alitaka alitapike na nasikia alilewa ili asione aibu kulitoa dukuduku lake 🤸♀️🤸♀️🤸♀️