Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

Mtu na dadake walipania kuongea ukweli mchungu yaani liwalo na liwe😀😀😅😅
 
Alisogelea mike Wakamvuta pembeni chaaaap pale pasingetosha mjomba sele alidhamiria mapema kabisa kupasua yai viza akamwambia dada yk usiende mbele dada wanakudhalilisha...🤣🤣🤣🤣
Hawajamfanyia fea kabisa mjomba 🤣🤣
 
Mtu na dadake walipania kuongea ukweli mchungu yaani liwalo na liwe😀😀😅😅
Walivaa mabomu kulipua, ndiomana mjomba alimchana dada ake tuondoke hapa tutaadhirika 🤣🤣🤣
Dada ake akasema, “wataadhirika wao subiri na uone, hakuna cha cash money wala pangu pakavu. Nawalipua wote had manzi wao”
“Si wanajitia viburi mtoto wetu adange afu wao wakae bure km manunu” 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kaka yake Frenk au Fredi wamsaidie mdogo wao apate ata chumba kimoja Mbezi😅😅😅

Comment yako imevunja mbavu zangu😂😂😂😂😅😅
 
Siku ile ameyatimba😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…