Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

Kaka yake Frenk au Fredi wamsaidie mdogo wao apate ata chumba kimoja Mbezi😅😅😅

Comment yako imevunja mbavu zangu😂😂😂😂😅😅
Si ndio hapo wana kazi ya kuwanunulia mademu Hennessy huku mdogo wao yupo km manunu kwa wema 😂😂😂
 
Ya familia ya watu siyajui kiundani, ukiachana na umri wa wema kikazi ni miaka 33 lkn kiuhalisia ana umri zaidi ya hapo kuna haja gani ya mzazi kuendelea kumfuatilia mambo yake?
 
Dar vitu vigi vinamix. Ngoja nitulie nitaelewa tu.
 
Jitu zima Lina miaka 33 + linahangaika na birthday vya watoto ya nini? Ukishafikisha umri huo achana na upuuzi huo bakisha sherehe Moja kwa miaka 5 au kumi ya ANNIVERSARY ya ndoa (Jubilee) au uwe unawafamyia watoto au wajukuu zako. Vijana acheni ujinga ukijaliwe umri mkubwa kafanye ibada sio huo upuuzi
 
Sijapenda au sijapentra........ ?!!!
🤓🤓🤓
 
Aiseeee
 
Aliua mimba ya kanumba pengine ndio ilikua Mtoto wake pekee.
Mungu ampe hitaji la moyo wake asirudie kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…