Yote haya yametokana na ile ultra sound aliyoiweka ndomo,nilijua tu lazima Wema atareact....
Sasa reaction yake ni kama kajikaanga na mafuta yake.
Naanzaje kusahau binamu?tulikua hatukai mjini hapa maana alikua anaringa hatariiii...maembe na ndimu vilikua havikosekani kwenye handbags zake.
Khaaaa Wema kazidi sasa!Zile ndimu alizokua anakula akidai ana mimba ya mondi ilikuwaje?Tena akadai ilichoropoka kwa vipigo kutoka kwa mondi.
Pole yake,maana kila mimba 'inachoropoka'.
Cha umuhimu hapa tuanze kuhesabu miezi,muda utatuambia tu.Huu nao ukiwa mchezo mchafu basi ndomo atakua na a serious problem!
Teh Teh serious problem gani?
Mama weee!unakumbuka kama mie kumbeee!alipigwa picha na gazeti la shigongo anafakamia ugali na mrenda!akwende zakeeee!
Ukimsoma vyema Wema utagundua ana sema kuwa Kanumba ndiye mwanaume pekee aliyeweza kumpa mimba na wengine wameshindwa akiwemo Diamond! Wema kaumizwa na hile picha ya tumbo.
maana yeye mimba anayowapaga wanawake yote inaharibika, hakuna ata mmoja aliyeota kitambia, penny alitoa ya moyoni kuwa ndomo hawezi kuzalisha mwanamke, wema nae kasema kuwa kanumba ndiye mwanaume pekee aliyewahi kumpa mimba ikatoka, kesho sijui zari atasemaje..movie inaendelea...n
Naona ndani ya maneno yake kuna ujumbe mzito sana aiseh, ukijaribu kuchanganua maneno yake na maneno ya penny utagundua kitu aiseeh... na hiyo mimba ya zari sidhani kwa kweli ata kama wamepiga hyo ultra sound bado naona ni mchezo mchafu wa ndomo unaendelea
Naona ndani ya maneno yake kuna ujumbe mzito sana aiseh, ukijaribu kuchanganua maneno yake na maneno ya penny utagundua kitu aiseeh... na hiyo mimba ya zari sidhani kwa kweli ata kama wamepiga hyo ultra sound bado naona ni mchezo mchafu wa ndomo unaendelea
Yote haya yametokana na ile ultra sound aliyoiweka ndomo,nilijua tu lazima Wema atareact....
Sasa reaction yake ni kama kajikaanga na mafuta yake.
Naanzaje kusahau binamu?tulikua hatukai mjini hapa maana alikua anaringa hatariiii...maembe na ndimu vilikua havikosekani kwenye handbags zake.
Sasa mimba itashikaje wakat kuchoropoa mimba ndo fashion siku hizi,kizazi kimeshaungua nakulegea...
umeona eeeh!!!
kwani VANILLA hajaanza kuita mama bado?
Kama kweli anataka mimba aje nimpe bureeeeeeee kabisa
Nani anakwambia Anataka shahawa zako
Ukimsoma vyema Wema utagundua ana sema kuwa Kanumba ndiye mwanaume pekee aliyeweza kumpa mimba na wengine wameshindwa akiwemo Diamond! Wema kaumizwa na hile picha ya tumbo.
wema mda wote yuko location yule dada ni dramakwiniahahah aaah mi bado nafikiria tu zile ndimu na bungo alizokuwa akizila kila siku uku akijifanya ana kichefu chefu sijui alikuwa ana maana gani ebu shoga ake Mrembo by Nature aje atufafanulie zile ndimu zilikuwa za nini, yani wema msanii jamani hapana kwa kweli.
Shoga acha tu,tulirushwaje roho?
Na hao mashoga zake ndio walikua wanakoma kabisa maana nasikia ilikua full kudeka,kila kitu hataki!