Wema Sepetu ajutia mimba ya Kanumba

Wema Sepetu ajutia mimba ya Kanumba

Yote haya yametokana na ile ultra sound aliyoiweka ndomo,nilijua tu lazima Wema atareact....
Sasa reaction yake ni kama kajikaanga na mafuta yake.
Naanzaje kusahau binamu?tulikua hatukai mjini hapa maana alikua anaringa hatariiii...maembe na ndimu vilikua havikosekani kwenye handbags zake.

Ukimsoma vyema Wema utagundua ana sema kuwa Kanumba ndiye mwanaume pekee aliyeweza kumpa mimba na wengine wameshindwa akiwemo Diamond! Wema kaumizwa na hile picha ya tumbo.
 
Khaaaa Wema kazidi sasa!Zile ndimu alizokua anakula akidai ana mimba ya mondi ilikuwaje?Tena akadai ilichoropoka kwa vipigo kutoka kwa mondi.
Pole yake,maana kila mimba 'inachoropoka'.

Mama weee!unakumbuka kama mie kumbeee!alipigwa picha na gazeti la shigongo anafakamia ugali na mrenda!akwende zakeeee!
 
Shoga acha tu,tulirushwaje roho?
Na hao mashoga zake ndio walikua wanakoma kabisa maana nasikia ilikua full kudeka,kila kitu hataki!
 
Ukimsoma vyema Wema utagundua ana sema kuwa Kanumba ndiye mwanaume pekee aliyeweza kumpa mimba na wengine wameshindwa akiwemo Diamond! Wema kaumizwa na hile picha ya tumbo.

Hicho ndicho hasa nilichoweza kukigundua ktk kauli yake hiyo.
Ameonesha udhaifu wa hali ya juu kwa hili,atampa sababu mondi ya kuzidi kumtesa kwa wivu.
 
maana yeye mimba anayowapaga wanawake yote inaharibika, hakuna ata mmoja aliyeota kitambia, penny alitoa ya moyoni kuwa ndomo hawezi kuzalisha mwanamke, wema nae kasema kuwa kanumba ndiye mwanaume pekee aliyewahi kumpa mimba ikatoka, kesho sijui zari atasemaje..movie inaendelea...n

Tusubiri hii ya Zari itatudhihirishia nani muongo na nani mkweli.
Zari akijifungua kweli mtoto wa ndomo basi wema,jokate na penny wote watakua waongo.Ila isipokua hivyo aiseeee......
 
Naona ndani ya maneno yake kuna ujumbe mzito sana aiseh, ukijaribu kuchanganua maneno yake na maneno ya penny utagundua kitu aiseeh... na hiyo mimba ya zari sidhani kwa kweli ata kama wamepiga hyo ultra sound bado naona ni mchezo mchafu wa ndomo unaendelea

Kuuliza sio ujinga Mkuu. "Ndomo" ni nani huyu?
 
Naona ndani ya maneno yake kuna ujumbe mzito sana aiseh, ukijaribu kuchanganua maneno yake na maneno ya penny utagundua kitu aiseeh... na hiyo mimba ya zari sidhani kwa kweli ata kama wamepiga hyo ultra sound bado naona ni mchezo mchafu wa ndomo unaendelea

Soma vizuri hapo
 
Attachments

  • 1421589558115.jpg
    1421589558115.jpg
    46 KB · Views: 486
Yote haya yametokana na ile ultra sound aliyoiweka ndomo,nilijua tu lazima Wema atareact....
Sasa reaction yake ni kama kajikaanga na mafuta yake.
Naanzaje kusahau binamu?tulikua hatukai mjini hapa maana alikua anaringa hatariiii...maembe na ndimu vilikua havikosekani kwenye handbags zake.

Yaan wewe umejua kuua..lols
 
Sasa mimba itashikaje wakat kuchoropoa mimba ndo fashion siku hizi,kizazi kimeshaungua nakulegea...
 
umeona eeeh!!!
kwani VANILLA hajaanza kuita mama bado?

ahahah aaah mi bado nafikiria tu zile ndimu na bungo alizokuwa akizila kila siku uku akijifanya ana kichefu chefu sijui alikuwa ana maana gani ebu shoga ake Mrembo by Nature aje atufafanulie zile ndimu zilikuwa za nini, yani wema msanii jamani hapana kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Ukimsoma vyema Wema utagundua ana sema kuwa Kanumba ndiye mwanaume pekee aliyeweza kumpa mimba na wengine wameshindwa akiwemo Diamond! Wema kaumizwa na hile picha ya tumbo.

khaa!! na tutayajua mengi tu, mie nasubir kusikia tu kuwa hawakuwahi kufanya mapenzi ata siku moja, maana nimeshaanza kupoteza uaminifu na hawa watu
 
ahahah aaah mi bado nafikiria tu zile ndimu na bungo alizokuwa akizila kila siku uku akijifanya ana kichefu chefu sijui alikuwa ana maana gani ebu shoga ake Mrembo by Nature aje atufafanulie zile ndimu zilikuwa za nini, yani wema msanii jamani hapana kwa kweli.
wema mda wote yuko location yule dada ni dramakwini
 
Last edited by a moderator:
Shoga acha tu,tulirushwaje roho?
Na hao mashoga zake ndio walikua wanakoma kabisa maana nasikia ilikua full kudeka,kila kitu hataki!

khaaa!! watu tukasubir tumbo likue kesho yake tukaambiwa imetoka, penny nae hvyo hvyo ikatoka dahh yani ni shidaa, ebu tumuache wema afunguke zaidi na tutasikia mengi, mi nasubir tu kusikia kuwa hakuwahi mvulia nguo diamond
 
Back
Top Bottom