Tusubiri hii ya Zari itatudhihirishia nani muongo na nani mkweli.
Zari akijifungua kweli mtoto wa ndomo basi wema,jokate na penny wote watakua waongo.Ila isipokua hivyo aiseeee......
This is the game of love wahusika wakuu ni diamond,wema, penny na zari , tutaona tu mwisho wake utakavyokuwa....mwenzio nshaanza kuhesabu mimba ya zari ina siku ngapi wewe je? maana raha ya umbea ujue matukio kama haya, watu wanajua hadi kuwa sauda mwilima na mumewe walifanya mapenzi mara mbili tu, ahahh aha chezeya wambeya wewe
Hahahaaaaa umenikumbusha ya Sauda mwilima aisee naye alijua kutuvunja mbavu.
Mimi nahesabu miezi,siku ni vigumu kwangu binamu.Umetisha sana,hadi siku?
Uwiiiiiii naogopa team ndomo wasituite vigagula maana!
Mrembo leo hawezi kukatiza hapa maana Wema kawatia aibu sana.Mambo gani ya kudanganya kila siku?Hivi unakumbuka Kanumba alivyokufa alisema nini?ahahah aaah mi bado nafikiria tu zile ndimu na bungo alizokuwa akizila kila siku uku akijifanya ana kichefu chefu sijui alikuwa ana maana gani ebu shoga ake Mrembo by Nature aje atufafanulie zile ndimu zilikuwa za nini, yani wema msanii jamani hapana kwa kweli.
khaaa!! watu tukasubir tumbo likue kesho yake tukaambiwa imetoka, penny nae hvyo hvyo ikatoka dahh yani ni shidaa, ebu tumuache wema afunguke zaidi na tutasikia mengi, mi nasubir tu kusikia kuwa hakuwahi mvulia nguo diamond
eeh wewe mama ubaya kanumba ndo mwanaume pekee aliyewahi kukupa mimba? na ile mimba mbili za ndomo ulizosema zilichpoka ilikuwa ni uongo au? nyie mastaa wa bongo movie hamuaminiki aisehh khaaa, au ndo ushasahau ulivyotudanganyaga insta umeshika mimba ya diamond? khaa kweli nyie kiboko... bhas huyo ndomo nae atakuwa tasa maana penny nae aliwahi kulalamika ndomo hazalishi
mwenzangu umbea ndo kazi inayoniweka mjini mpaka siku mie mwenzio nahesabu, nataka kusikia na yenyewe mimba itachoropoka lini
wema pressure juu nakwambia, mwaka wake huu..
Nimeikuta sehem et Wema na Penny waamua kuunda UKAWA
Kwani mimba nakupa ww
Au na ww unataka kupewa mimba
Kama unataka sema upewe
Awajachagua NANI anagombea 2015??Teh Teh UKAWA