Wema Sepetu ajutia mimba ya Kanumba

Wema Sepetu ajutia mimba ya Kanumba

Tusubiri hii ya Zari itatudhihirishia nani muongo na nani mkweli.
Zari akijifungua kweli mtoto wa ndomo basi wema,jokate na penny wote watakua waongo.Ila isipokua hivyo aiseeee......

This is the game of love wahusika wakuu ni diamond,wema, penny na zari , tutaona tu mwisho wake utakavyokuwa....mwenzio nshaanza kuhesabu mimba ya zari ina siku ngapi wewe je? maana raha ya umbea ujue matukio kama haya, watu wanajua hadi kuwa sauda mwilima na mumewe walifanya mapenzi mara mbili tu, ahahh aha chezeya wambeya wewe
 
Hahahaaaaa umenikumbusha ya Sauda mwilima aisee naye alijua kutuvunja mbavu.
Mimi nahesabu miezi,siku ni vigumu kwangu binamu.Umetisha sana,hadi siku?
Uwiiiiiii naogopa team ndomo wasituite vigagula maana!
 
mwenzangu umbea ndo kazi inayoniweka mjini mpaka siku mie mwenzio nahesabu, nataka kusikia na yenyewe mimba itachoropoka lini
 
ahahah aaah mi bado nafikiria tu zile ndimu na bungo alizokuwa akizila kila siku uku akijifanya ana kichefu chefu sijui alikuwa ana maana gani ebu shoga ake Mrembo by Nature aje atufafanulie zile ndimu zilikuwa za nini, yani wema msanii jamani hapana kwa kweli.
Mrembo leo hawezi kukatiza hapa maana Wema kawatia aibu sana.Mambo gani ya kudanganya kila siku?Hivi unakumbuka Kanumba alivyokufa alisema nini?
 
Last edited by a moderator:
khaaa!! watu tukasubir tumbo likue kesho yake tukaambiwa imetoka, penny nae hvyo hvyo ikatoka dahh yani ni shidaa, ebu tumuache wema afunguke zaidi na tutasikia mengi, mi nasubir tu kusikia kuwa hakuwahi mvulia nguo diamond

Wema ni dhaifu sana,kitendo cha kuachana na mtu ukaanza kuanika mambo yenu hadharani ni udhaifu wa hali ya juu.Kweli tutasikia mengi maana si unamjua ndomo tena vile hanaga dogo?
Tusubiri kusikia ya Wema sasa.....heheheheeerrr mjini patamu sana.
 
eeh wewe mama ubaya kanumba ndo mwanaume pekee aliyewahi kukupa mimba? na ile mimba mbili za ndomo ulizosema zilichpoka ilikuwa ni uongo au? nyie mastaa wa bongo movie hamuaminiki aisehh khaaa, au ndo ushasahau ulivyotudanganyaga insta umeshika mimba ya diamond? khaa kweli nyie kiboko... bhas huyo ndomo nae atakuwa tasa maana penny nae aliwahi kulalamika ndomo hazalishi

Acha wivu wewe.sasa ndomo si angekua ana watoto kama 9 hv up to now.
 
mwenzangu umbea ndo kazi inayoniweka mjini mpaka siku mie mwenzio nahesabu, nataka kusikia na yenyewe mimba itachoropoka lini

Hahahaaaa hii ya Zari ikichoropoka tena nanawa mikono kabisa!
 
wema pressure juu nakwambia, mwaka wake huu..

Ujue alifanya uzembe mkubwa sana kuiweka hadharani!Hivi ikichoropoka hii atauweka wapi uso wake?
Shauri zake bwana,kajitakia mwenyewe.
 
Wema anatia huruma sana managment yake ndio inayomsaidia lasivyo angeshalazwa kwa presha
 
Tumbo LA bia na reeds mnasemaje mimba jamani
 
katoto katamu kama haka nikikaanacho masaa 2 tu katapata mimba mpaka miguuni
 
Back
Top Bottom