Wema Sepetu ajutia mimba ya Kanumba

Wema Sepetu ajutia mimba ya Kanumba

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
attachment.php

MWANADADA asiyeishiwa habari , Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam' anadaiwa kujutia mimba yake aliyopachikwa na aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo , marehemu Steven Kanumba ' The Great ' wakati wa mahusiano yao.

Chanzo makini kilicho karibu na Wema kilieleza kwamba , mwanadada huyo kwa sasa yupo kwenye wakati mgumu huku akijutia mimba aliyopewa na Kanumba ambayo ilichoropoka kwa bahati mbaya na huyo ndiye mwanaume pekee aliyewahi kumpa ujauzito .

"Yaani Wema anajutia kweli kwamba kwa nini hakuzaa na Kanumba kwani ndiye mwanaume pekee aliyewahi kumpa ujauzito ambapo kwa sasa anatafuta mtoto lakini hapati, yaani yupo kwenye wakati mgumu sana akikuelezea mwenyewe unaweza kulia kwani ana simulizi ya kusikitisha kuhusu maisha yake na Kanumba.

"Hii yote inatokana na kwamba kwa sasa anatamani kuitwa mama lakini hapati hivyo kujikuta akiukumbuka ule ujauzito wa Kanumba anateseka kweli moyoni , "kilisema chanzo hicho .

Alipoulizwa Wema kuhusu ishu hiyo alikiri na kuonesha namna gani anateseka moyoni ."Nateseka kweli , tangu ilipotokea kwa Kanumba haijawahi kutokea tena . Hakuna mtu ambaye hapendi kuwa mama , nazidi kumuomba Mungu huenda na mimi itatokea nitapata , " alisema Wema .
 
Attachments

  • 1421574649614.jpg
    1421574649614.jpg
    74.1 KB · Views: 4,508
eeh wewe mama ubaya kanumba ndo mwanaume pekee aliyewahi kukupa mimba? na ile mimba mbili za ndomo ulizosema zilichpoka ilikuwa ni uongo au? nyie mastaa wa bongo movie hamuaminiki aisehh khaaa, au ndo ushasahau ulivyotudanganyaga insta umeshika mimba ya diamond? khaa kweli nyie kiboko... bhas huyo ndomo nae atakuwa tasa maana penny nae aliwahi kulalamika ndomo hazalishi
 
Khaaaa Wema kazidi sasa!Zile ndimu alizokua anakula akidai ana mimba ya mondi ilikuwaje?Tena akadai ilichoropoka kwa vipigo kutoka kwa mondi.
Pole yake,maana kila mimba 'inachoropoka'.
 
Khaaaa Wema kazidi sasa!Zile ndimu alizokua anakula akidai ana mimba ya mondi ilikuwaje?Tena akadai ilichoropoka kwa vipigo kutoka kwa mondi.
Pole yake,maana kila mimba 'inachoropoka'.

Khaa ebu nisaidie kushangaa kumbe na wewe unakumbuka eeh? mara kujifanya ana kichefu chefu sijui, kumbe alikuwa anawarusha roho watu, yanini sasa kujitesa kote kule kumbe mimba hana?

looh leo kaachwa ndo anatoa siri na sijui kashasahau kuwa alidanganya ana mimba ya ndomo, tena mbili zote eti zikatoka, mi nilijua tu ni uwongo yani ye akibeba mimba ata kitumbo hakionekani mimba imetoka duh, hawa wana siri zao wanaficha tu , na sasa ivi wanaanza kuzitoa taratibu, aya tukae masikio juu sie kama dish la dstv tudake vizur mawimbi ya habari
 
Khaa ebu nisaidie kushangaa kumbe na wewe unakumbuka eeh? mara kujifanya ana kichefu chefu sijui, kumbe alikuwa anawarusha roho watu, yanini sasa kujitesa kote kule kumbe mimba hana? looh leo kaachwa ndo anatoa siri na sijui kashasahau kuwa alidanganya ana mimba ya ndomo, tena mbili zote eti zikatoka, mi nilijua tu ni uwongo yani ye akibeba mimba ata kitumbo hakionekani mimba imetoka duh, hawa wana siri zao wanaficha tu , na sasa ivi wanaanza kuzitoa taratibu, aya tukae masikio juu sie kama dish la dstv tudake vizur mawimbi ya habari

Yote haya yametokana na ile ultra sound aliyoiweka ndomo,nilijua tu lazima Wema atareact....
Sasa reaction yake ni kama kajikaanga na mafuta yake.
Naanzaje kusahau binamu?tulikua hatukai mjini hapa maana alikua anaringa hatariiii...maembe na ndimu vilikua havikosekani kwenye handbags zake.
 
Naona ndani ya maneno yake kuna ujumbe mzito sana aiseh, ukijaribu kuchanganua maneno yake na maneno ya penny utagundua kitu aiseeh... na hiyo mimba ya zari sidhani kwa kweli ata kama wamepiga hyo ultra sound bado naona ni mchezo mchafu wa ndomo unaendelea
 
Cha umuhimu hapa tuanze kuhesabu miezi,muda utatuambia tu.Huu nao ukiwa mchezo mchafu basi ndomo atakua na a serious problem!
 
Hongera sana wema kwa kukumbuka mimba ya late kanumba.
 
Cha umuhimu hapa tuanze kuhesabu miezi,muda utatuambia tu.Huu nao ukiwa mchezo mchafu basi ndomo atakua na a serious problem!

maana yeye mimba anayowapaga wanawake yote inaharibika, hakuna ata mmoja aliyeota kitambia, penny alitoa ya moyoni kuwa ndomo hawezi kuzalisha mwanamke, wema nae kasema kuwa kanumba ndiye mwanaume pekee aliyewahi kumpa mimba ikatoka, kesho sijui zari atasemaje..movie inaendelea...n
 
Anajutia sababu ndo mimba pekee iliyokubali na akaitoa.
Mungu si mwanadamu aisee sasa anaishia kunyonyesha vimbwa.
 
mwambieni aje kwangu nimpe mimba. motto mzuri kama yeye! akija kwangu hawezi akakosa mimba!!
 
pole wema ! ila ujifunze na wewe....kila dime linajipigia tuu na hutosheki...kutotulia kwako kumekuponza....majuto ni mjukuu and it won't change! ....
 
Anajutia sababu ndo mimba pekee iliyokubali na akaitoa.
Mungu si mwanadamu aisee sasa anaishia kunyonyesha vimbwa.

aaaah jana nimeona kule insta mtu kapost picha za mastaa kibao na watoto wao akaweka na picha ya wema na mbwa wake yani nilicheka balaa dah watu nikiboko sana aseeh
 
Khaaaa Wema kazidi sasa!Zile ndimu alizokua anakula akidai ana mimba ya mondi ilikuwaje?Tena akadai ilichoropoka kwa vipigo kutoka kwa mondi.
Pole yake,maana kila mimba 'inachoropoka'.

umeona eeeh!!!
kwani VANILLA hajaanza kuita mama bado?
 
Back
Top Bottom