Wema Sepetu akesha akimlilia Tundu Lissu

Wema Sepetu akesha akimlilia Tundu Lissu

Wapo watu wanaona thamani ya lissu lazima wa keshe wakiomba apone haraka
 
Ukeshe unabubujikwa na machozi macho yasiwe mekundu? Haya mbona jana mahakamani wala hakuna na tone la simanzi? Kiki zingine sijui za bajaj?
 
Wema analia km nani? Ukiona hivyo jua kaona fursa muhimu IPO hapo...au alikuwa anamendea fursa sasa kaanua kutoa machozi ya kibongo muvi!

Lisu upone haraka ila VILIO VYA KIJINGA KM HUYU ni nkusi
 
Back
Top Bottom