Wema Sepetu akijitetea Skendo ya kujiuza kwa Mkongo kisha kukimbiwa bila malipo

Wema Sepetu akijitetea Skendo ya kujiuza kwa Mkongo kisha kukimbiwa bila malipo

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Chanzo chetu ambacho ni makini kilipenyeza kuwa, katika tukio hilo la hivi karibuni, staa huyo alikuwa hafahamiani na mwanaume huyo, lakini kuna kijana mmoja ambaye mara nyingi anawakuwadia mastaa wa Bongo kwa matajiri, alidaiwa kumtonya Wema kuwa kuna ‘mchati' anataka kutoka naye.

Kilifunguka kwamba, baada ya Wema kung'atwa sikio juu ya Mkongomani ambaye ana ‘hela chafu', alidaiwa kuonekana kuchachawa hivyo eti alikubali kupelekwa kwake akajazwe ‘mihela'.

Baada ya Wema kufika hotelini hapo, alitambulishwa kwa Mkongo huyo ambapo baada ya kusalimiana tu, walikaa pamoja na kuanza ‘kufanya yao'.

Baada ya Wema na Mkongo huyo kukutana na kumaliza ‘shida' zao, kila mtu alichukua hamsini zake huku jamaa huyo ‘akim-block' Wema kwenye simu.

IMG_1004.PNGIMG_1005.PNGIMG_1001.JPGIMG_1002.PNGIMG_1003.PNG

Pamoja na Wema mwenyewe Kukanusha kupitia instagram kwamba hizo picha ni za 2011, ushahidi wa simu za mezani umemuumbua kwani simu inayoonekana ikimpiga picha ni samsung galaxy s6 edge na simu inayoonekana ipo mezani ni iphone 6 ambazo ni simu zilizotoka juzi juzi tuu.

Haya.....

 
Madai yako hapo ilikuwa capetown fish market 2011
 
Eti huyu nae ashindane na Lowassa? Anaweza kujikuta hata taji la U MISS Tz akanyang'wanywa.
 
Kila siku bora ya jana. Halafu eti alilia alipokosa ubunge.
 
Privacy hakuna kabisa siku hizi?
Denda hadharani!
 
Tundu lisu atafute kazi ya kufanya lazima abwage
 
Hate naye anataka kuwa mbunge ..labda akawe mbunge wa kugawa mali yake
.
 
2011 weaving zilikua way pemben closure zilikua hazipo,

2011 alikua na ule weupe wamkorogo sio rangi hiii,

Kucha zake hapo ni sawa na za post zake za week hiii so inamaana kucha tangu 2011 ni same style... #Ngachoka

2011 mpaka 2013 arrangement za pete ni same??
 
Back
Top Bottom