Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
picha amevijisha badra baada ya kukomaliwa atimuliwe na wema. kwa kifupi hizo picha ni za wema. ila wema ipo siku utakumbuka hizi chance unazochezea. unapoteza fans kila siku. hakuna mtu anaweza vumilia tabia zako. tumekutapika