Wema Sepetu akijitetea Skendo ya kujiuza kwa Mkongo kisha kukimbiwa bila malipo

picha amevijisha badra baada ya kukomaliwa atimuliwe na wema. kwa kifupi hizo picha ni za wema. ila wema ipo siku utakumbuka hizi chance unazochezea. unapoteza fans kila siku. hakuna mtu anaweza vumilia tabia zako. tumekutapika
 
Wewe unajielewa, na unampenda kwa dhati pasipo unafiki.
Wenzako wengi wanamvaa maimartha na kumtusi matusi ya nguoni kuwa amevujisha hizo picha.
Inamaana maimartha alikua na Wema muda huo? Au ndo yule mwenye vidole vinene?
Matusi na kumsafisha kwa jazba hakusaidii.
Kuwa mkweli kwake kama ivi inasaidia.Sasa Wema apewe somo ya kuweka mambo yake ya chumbani private.Naona amekazana kurusha vijembe insta.
 
picha amevijisha badra baada ya kukomaliwa atimuliwe na wema. kwa kifupi hizo picha ni za wema. ila wema ipo siku utakumbuka hizi chance unazochezea. unapoteza fans kila siku. hakuna mtu anaweza vumilia tabia zako. tumekutapika

Nasikia huyu badra alikua anamchukia Wema zamani.Ina maana alihamia kwa Wema?
 
Tukiwaambia hawa madada ni machangudoa mnatuita 'haters', nashukuru Mungu hajaingia mjengoni yeye na mwenzake Uwoya maana ningesusa kuangalia Bunge.
 
Nasikia huyu badra alikua anamchukia Wema zamani.Ina maana alihamia kwa Wema?

ndio alishamtukana sana. wala sio zamani ni mwaka huu huu. badra alichukua nafasi ya aunt kwenye ushoga wao. sema sijui amelogwa huyu yani hawezi kuwa peke yake mpaka aandamwe nyuma kama mkia wa kondoo
 
Sasa kwanini ameamua amfukuze?
 
wenzangu akina nani miss haha mi nina independent mind tena siko kwenye team yoyote. kwanza simhitaji tena huyu wema alishanichoshaaaaaa
binadamu gani asiyekaa chini na kujitafakari mapito yake kisha akachukua hatua. mtu gani asiyemsikiliza mama yake mzazi ila anawasikiliza team/washabiki? mama yake amemkataza kuhusu badra hakusikia ila team imeandamana amewasikia amemfukuza badra
 
Wema anaiheshimu team yake kama miungu yake.
Wakimwambia atembee mtupu atafanya ivo.

imagine mama ilibidi aombe timu imwambie amfukuze badra (sababu ni kwamba huyu binti ni punda so atamtia matatani)tena mama akaomba asitajwe hahaha hadi huruma
 
Du, Wema naye jamani kama mtoto hakui.
Sasa na kale kabwana mdogo Louis Munana naye anatoka naye?
Maana sio kujishebedua kule.
 
mapenzi hayana umri. kama ameamua kusettle nae powa tu. ishu kubwa ya kuangalia ni kashfa zingine zisizo na mpango
 
Nilisha wai kusema huku kati ya Wasanii ambao wana matatizo ya kichwa Wema ni namba moja kabisa!
Nasikia huyu badra alikua anamchukia Wema zamani.Ina maana alihamia kwa Wema?
 
ataamua mwenyewe bahna na ngozi yake!! kuna wanaofanya na boyfriend daily bila hata hamsini na bado wanaachwa
 
mapenzi hayana umri. kama ameamua kusettle nae powa tu. ishu kubwa ya kuangalia ni kashfa zingine zisizo na mpango
hapo kwenye kutulia ndio tatizo...kutulia ni msamiati mgumu kwa wema. Hakuna tabia inayoniuzi kama ile ya kupenda maisha ya ushost wa kupika, kupakua, kuvaa saresare maua na kulala pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…