tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
wema alishanishinda. kwa ufupi nimenyoosha mikono mtu gani anakuwa kama mvuta bangi bwana
CC
tweenty4seven
wema alishanishinda. kwa ufupi nimenyoosha mikono mtu gani anakuwa kama mvuta bangi bwana
CC
tweenty4seven
heri nikamatwe na hiyo sheria kuliko hao wa huko ninapotoa hizi data.
hahahah mbebez sitaki kuamini haya maneno...Kuna kipindi kimzaha mzaha tu tulifanya nae makubaliano na akatuma Proforma Invoice ya Sh. 600,000 Short time na Sh. 800,000 All night.
Sijui gharama zimeongezeka ama lah
hahahah mbebez sitaki kuamini haya maneno...
Tukiwaambia hawa madada ni machangudoa mnatuita 'haters', nashukuru Mungu hajaingia mjengoni yeye na mwenzake Uwoya maana ningesusa kuangalia Bunge.
sasa huyu Steve Nyerere amejipamba mabendera kama anaenda kwenye mechi ya Taifa Stars, tabu yote ya nini? Anaonekana kama hamnazo huyu.