Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Hahaahhh vile vihiace vya njiro ni sheeda
Kumbe haujakaa Chuga Bora Hiace za njiro mara kumi kuna hizo za kijenge mwanama relini au Ungalimited duh!! ni shida gari kila kona limechomelewa na welding linapiga kelele mbaya mpaka hasira hauwezi hata kuweka earphone masikioni
 
Rey C aliendaga Arusha kumfuata Rord Eyes akajifunza na unga sasa kawa teja,huyo cjui Wema atarudi anakula ugal na bangi
 
Kumbe haujakaa Chuga Bora Hiace za njiro mara kumi kuna hizo za kijenge mwanama relini au Ungalimited duh!! ni shida gari kila kona limechomelewa na welding linapiga kelele mbaya mpaka hasira hauwezi hata kuweka earphone masikioni
Hahahhh naendaga njiro mara moja moja nikifkilia kwenda mjini nafkilia hiace full makelele ya mabati
 
zegembe lake Dar wanalisema sana eti la mchina,sasa wazee wachuga siunajua ni wagumu hainaga kuremba,aisee wao wanabeba manta!!
 
Furaha ya huyu bidada ni kuongelewa kama hivi ufanyavyo wewe, yaani unataka kuniambia mpaka leo bado hujamjua huyu bi dada? Sikazi naandika haya mwenzio kisharudi Dar na yuko anatafuta mwanaume mwingine wa kumtoa kafara na kumchezea akili kama kale kayanki ka Big Brother.
Mkuu usihofu.

Wakati wauza sura wanataka waongelewe mitandaoni na mgazetini, magazeti nayo yanafanya biashara na mitandao ina generate traffic na kuongeza kipato chao.

Sisi nao tunaunga bando na kufuatilia sredi wakati makampuni ya simu yanaingiza pesa, wakati huo huo na sisi tunapunguza stress kwa kusoma ujinga wao.

Life is a cycle, a vanity cycle indeed.
 
Ni ulemavu basi hivi vitu huenda kwa uwiano [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Uta nitafsiri vipi Muungwana nina vidole virefu mbele vimefanya virungu kama njiti za kiberiti ila mzigo kama nimeapizwa kwenye mambo ya shake well after use budi itumike mikono miwili kukung'uta unasema vipi hapo ni ulemavu pia,na kisha uniwie radhi elimu yako hii ni namna ya unajimu au?
 
Uta nitafsiri vipi Muungwana nina vidole virefu mbele vimefanya virungu kama njiti za kiberiti ila mzigo kama nimeapizwa kwenye mambo ya shake well after use budi itumike mikono miwili kukung'uta unasema vipi hapo ni ulemavu pia,na kisha uniwie radhi elimu yako hii ni namna ya unajimu au?

Sasa huo ni ulemavu kamili kama huu
1472653560489.jpg
meno makubwa kuliko mdomo
 

Malkia wa filamu Wema Sepetu amelikimbia jiji la Dar es salaam na kuamua kuanzisha makazi mapya mkoani Arusha kama alivyodai yeye mwenyewe.

Mwigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo mkoani Arusha ameonyeshwa kuvutiwa na jiji la Arusha na kuamua kuwarusha roho mashabiki wake kwa kuwaambia kwamba hatarudi tena Dar es salaam.

“My shouger nikimpenda hovyooo, kweli watu tumetoka mbali, huyu ndiye atakayenifanya nihamie Arusha kwakweli,” aliandika Wema katika picha hiyo hapo juu akiwa na rafiki yake.

Kadiri siku zinavyozidi kwenda mrembo huyo anaonyesha kuendelea kuvutiwa mji wa Arusha.

“Nirudie nini Dar mie, kurudi Dar majaliwa, na sirudi Dar ng’o,” aliandika Wema katika ujumbe wake wa pili.

Hata hivyo uwamuzi huyo umepokewa tofauti na baadhi ya mashabiki wake katika mitandao ya kijamii.

Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki wake.

Hopeolivier24

Dar bila Wema Itawezekana kweli? Itakuwa manispaa maana jiji unaliamishia Arusha

Zai_miss
Kwaiyo ushahamia arusha jamani khaaaa vigoma vyako itakuwaje My mmmh ila umefanya lamaana maana bongo kwa moto arusha Baridi kishezi

Theonerealdully
Utarudi tuu. Watu wa dar miji mingine hamuiwezi hekaheka zenu na mafoleni mwayapenda hivyohivyo

Andymsalali
jamn kwann, rudi bhana, tumekuzoea wenyew kukuona dar

Zeyaabdallah
Wema Rudi home coz matatizo hayakimbiwi dadaangu mpenz Wang.sawa Bali unatakiwa uyakabi

Source: Bongo5
Nenda Mwanakwenda na nyuma usigeuke ndio njia ya Kenya vuka na utokomee mbali tumekuchoka Dar, ila hatarudi kweli huyu kiumbe kweli? maana Arusha hakuna vigodoro, Hebu kwenda uka wauzie mimba nyoka wakitoka mashimoni.
 
Wazee wa bandari meli hamna, mifuko imekuwa mikavu kama bandari kavu.. Bora migodini akaweke makazi.
 
Back
Top Bottom