Wema Sepetu akimbia Dar, ahamia Arusha mazima

Hahaahhh vile vihiace vya njiro ni sheeda
Kumbe haujakaa Chuga Bora Hiace za njiro mara kumi kuna hizo za kijenge mwanama relini au Ungalimited duh!! ni shida gari kila kona limechomelewa na welding linapiga kelele mbaya mpaka hasira hauwezi hata kuweka earphone masikioni
 
Rey C aliendaga Arusha kumfuata Rord Eyes akajifunza na unga sasa kawa teja,huyo cjui Wema atarudi anakula ugal na bangi
 
Kumbe haujakaa Chuga Bora Hiace za njiro mara kumi kuna hizo za kijenge mwanama relini au Ungalimited duh!! ni shida gari kila kona limechomelewa na welding linapiga kelele mbaya mpaka hasira hauwezi hata kuweka earphone masikioni
Hahahhh naendaga njiro mara moja moja nikifkilia kwenda mjini nafkilia hiace full makelele ya mabati
 
zegembe lake Dar wanalisema sana eti la mchina,sasa wazee wachuga siunajua ni wagumu hainaga kuremba,aisee wao wanabeba manta!!
 
Mkuu usihofu.

Wakati wauza sura wanataka waongelewe mitandaoni na mgazetini, magazeti nayo yanafanya biashara na mitandao ina generate traffic na kuongeza kipato chao.

Sisi nao tunaunga bando na kufuatilia sredi wakati makampuni ya simu yanaingiza pesa, wakati huo huo na sisi tunapunguza stress kwa kusoma ujinga wao.

Life is a cycle, a vanity cycle indeed.
 
Ni ulemavu basi hivi vitu huenda kwa uwiano [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Uta nitafsiri vipi Muungwana nina vidole virefu mbele vimefanya virungu kama njiti za kiberiti ila mzigo kama nimeapizwa kwenye mambo ya shake well after use budi itumike mikono miwili kukung'uta unasema vipi hapo ni ulemavu pia,na kisha uniwie radhi elimu yako hii ni namna ya unajimu au?
 

Sasa huo ni ulemavu kamili kama huu meno makubwa kuliko mdomo
 
Nenda Mwanakwenda na nyuma usigeuke ndio njia ya Kenya vuka na utokomee mbali tumekuchoka Dar, ila hatarudi kweli huyu kiumbe kweli? maana Arusha hakuna vigodoro, Hebu kwenda uka wauzie mimba nyoka wakitoka mashimoni.
 
Wazee wa bandari meli hamna, mifuko imekuwa mikavu kama bandari kavu.. Bora migodini akaweke makazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…