[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akidumu kwenye ndoa miezi mitatu natembea uchi siku nzima. Akishaolewa na miezi mitatu ikipita akiwa kwenye ndoa mnishtue!
Hao wapo kwa ajili ya kutoa burudani kwa watu wenye visenti. Huolewa na mtu aliyetayari kubeba tatizo baada ya wataalamu wakishamaliza uhondo wote.Akidumu kwenye ndoa miezi mitatu natembea uchi siku nzima. Akishaolewa na miezi mitatu ikipita akiwa kwenye ndoa mnishtue!
yetu macho!!!
Sawa@@@@@@
Aisee upo uraiani? Ni muda mrefu, nilifikiri unaozea Segerea. Na hizi sheria mpya za mitandao ukimuona mtu hapatikani humu ujue kafungwa.
Vizuri mkuu. Uwe wa kwanza kunishtua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natunza hii post hapa
Nilisubiri ndoa ya uwanja wa taifa, labda hii itakuwa.....Sawa@@@@@@