Wema Sepetu akubali ndoa na Idris, asema haya kuhusu ndoa yao itavyokua

Wema Sepetu akubali ndoa na Idris, asema haya kuhusu ndoa yao itavyokua

Akidumu kwenye ndoa miezi mitatu natembea uchi siku nzima. Akishaolewa na miezi mitatu ikipita akiwa kwenye ndoa mnishtue!
Hao wapo kwa ajili ya kutoa burudani kwa watu wenye visenti. Huolewa na mtu aliyetayari kubeba tatizo baada ya wataalamu wakishamaliza uhondo wote.
 
Nilipokuwa tz nilisikia ana mimba ila hiv sasa niko ulaya vp eb niambien tayar ana baby?
 
Back
Top Bottom