NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
- Thread starter
-
- #41
Anzisha ya muhimu tutachangia mkuu. BTW unajua dhima ya jukwaa hili?!Kuleta ishu ya wema huku ni ujuha, kuna mambo muhimu ya kujadili yenye manufaa kwa jamii sio upuuzi kama huu.
Na kwa huyo hilo nila kumshangaa?Acha aliwe
Kuna siku nilijichanganya nikamtukana kule istagram mbona nilijutaTeam Wema wakikusikia watatukana ukoo wako mzima.
Wee ulishakula wangapi mkuu?Staa wa bongomuvi ameliwa denda live kama yale ya Hollywood katika movie mpya.
Je ndo kuendelea kwa sanaa yetu?
Hapo jibu sina kwakweliStaa wa bongomuvi ameliwa denda live kama yale ya Hollywood katika movie mpya.
Je ndo kuendelea kwa sanaa yetu?
Kuna baadh ya movies za Hollywood scene zinazohusu kugegeduana basi wanagegeduana kweli! #It is all about uhalisia, sometimes....japokua hollywood si BongoMovie!... By the way, nowadays pornography is all around us!Staa wa bongomuvi ameliwa denda live kama yale ya Hollywood katika movie mpya.
Je ndo kuendelea kwa sanaa yetu?
Kila mtu na kazi yake, hapa kazi tu!Mkuu nenda kule kwenye jukwaa la uchumi, watu kama wewe wanahitajika Sana ili mjadili mambo yenye manufaa kwa jamii. Hawa hawatakuelewa hapa, Sana Sana watakukwaza tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani wana JF NAOMBA MSAADA
Natarajia kuoa mnamo mwezi wa Tisa. Naombeni michango yenu ndugu zangu, Baba na Mama zangu, Natafuta milion moja kwa ajiri ya kulipia mahali uko Iringa Uheheni. Naomba michango yenu ndugu zangu wapendwa na Mungu atawaongezeapale mtakapo toa
Nawaombea mafanikio mema nyoote NA MUNGU AWABARIKI SANA
Namba yangu ya M-Pesa ni 0756 066 715.
asanteni JamaniView attachment 347101
... hata angeliwa uroda live ktk hiyo muvi bado asingeweza kunishawishi kuangalia Bongo muvi.Filamu bila uhalisia haziwezi uzika wacheni watu wafanye kazi mataifa mengine yameendelea katika tasnia ya filamu kwa sababu washiriki wake wanauvaa uhusika vilivyo sisi kila siku tutabakia maadili maadili yametusaidia nini hayo maadili mpaka dakika hii..??